KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Tanga Moro mvua zilileta maafa na sikuona uzi humu, kwanini dar, hata umeme ukikatika, tunaona uzi humu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUMIA TU MATANGO MAANA HAKUNA MTU ATAKUJA HUKO KWENUTango leo ndo litahusika, naliweka kwenye microwave kidoogoo linapata jotojoto, nalimassage na mafuta ya massage basiii....
Kifuatacho ITV .......
KIPAUMBELE CHAO NI NDEGE, WANASUBIRI TATU MWAKANI. DAR LABDA BAADA YA NDEGE KUFIKA NDIO WANAWEZA KUFIKIRIA MIUNDOMBINU.
Duh, sasa unaingizaje kipato?Mbagala niliyopo imenyesha nje kumelowa ndembendembe... nimerudi kitandani kujilaza nimejigubika blanketi bwiiii.
Naperuuuzzzzzz na Kudaaadiiiizzzzzz
MBONA EASY MKUU!!! KILA MTU AFANYE YANAYOMUHUSU.Tanga Moro mvua zilileta maafa na sikuona uzi humu, kwanini dar, hata umeme ukikatika, tunaona uzi humu!
WEWE UNAFIKIRIA KIPATO WKT YEYE KASHASEMA YUPO NDANI NA TANGO LAKE AMETULIADuh, sasa unaingizaje kipato?
Huku wengine sisi ikinyesha tukafunga ofisi basi kwenye daftari upande wa kilichopatikana unasoma NIL.
kwa taarifa za chinichini limeenda na majiVipi waliopo karibu na ufipa
Jengo letu lipo salama?
Kweli Mkuu,Maeneo haya kila mwaka.ni kawaida kujaa maji..... Plus na pamba house kule imalaseko
Bila kusahau cbe
Ila hakuna jitihada zozote miaka na miaka
Sent using Jamii Forums mobile app