TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,030
Safi kabisa toka yule engineer azimie mambo ni murua kabisa lami tupu mpaka Martin Luther #hongera Rais ajayeVipi Ilazo panapitika?
[emoji2398]Black city
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa toka yule engineer azimie mambo ni murua kabisa lami tupu mpaka Martin Luther #hongera Rais ajayeVipi Ilazo panapitika?
[emoji2398]Black city
Hapa kibamaba tumekuchanayo na mpaka sasa inapiga mvuaHuwezi amini kibaha huku kukavu.. Tunaona giza tuu na mirindimo ya radi kwa mbaali sijui itashuka saa ngapi!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishindo cha awamu ya tano hicho usiogope ndio zinashusha madaraja na flyover hizo radi.Ndio ww hiii radi haifai utafkiri sijui nn kinaanguka sijahi skia ya namna hiii
Nadhani ni sehemu kubwa ya "daslam" inanyesha
Dar ndio backbone ya nchiTanga Moro mvua zilileta maafa na sikuona uzi humu, kwanini dar, hata umeme ukikatika, tunaona uzi humu!
Nawaza kwa sauti kama Mkoloni angeendelea kututawala basi pale jangwani angeshajenga daraja, ila serikali ya ccm tangu imeingia madarakani wanapatazama tu pale hawachukui hatua sijui wanatuchukuliaje watanzania.Dar ukiondoa Osterbay na Masaki kulikobaki kote ni slums. Hamna miundombinu wala mazingira rafiki kwa mwanadamu kuishi.
Cha kushangaza tangu mwaka 1962 tulipoanza kujitawala hakuna sehemu tumeweza kujenga mji au kuendeleza sehemu za miji yetu kufikia ile level ya mkoloni.
Kwenye miji yetu yote sehemu zote liveable ni zile alizojenga mkoloni.
Hiyo itakuwa ni Mwanza ya Malawi ila Mwanza ya Tz haiko hivyo ulivyoielezea, ki ujumla ukanda wa ziwa Victoria radi ni jambo la kawaida, mara nyingi radi ina strike eneo la ziwa sio kwenye makazi ya watu ikitokea hivyo ni nadra sana labda tuseme mara moja baada ya muongo, na sehemu inayoongoza kwa radi ukanda huu ni Kampala ila huku Mwanza radi ni za kawaida sana.Ukienda Mwanza kipindi cha mvua hautamaliza wiki unapakimbia. Kule radi zinaua, zinatoboa mabati na kupasua miti. Radi ikipita mahali utafikiri jogoo kaparua.
Njoo nikukumbatieJaman hongereni huku ni balaaa ambao hatujatoka ndani hatutoki matumbo yanauma uoga wa hiii radi
mbona mnatuchukia sana watu wa dar?😀😀😀Wazee wa "dar mzunguko wa pesa mkubwa sio kama mikoani"vipi leo hapo jangwani mmepita na boti au ndege? Shwaain mnajikuta kama mnaoshi new york kumbe mnaishi matopeni
Sent using Jamii Forums mobile app