mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hapana! Mungu ndiyo aliwambia wajenge Jangwani piaKwani Mvua Imeletwa Na Serikali
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana! Mungu ndiyo aliwambia wajenge Jangwani piaKwani Mvua Imeletwa Na Serikali
Kwani Mvua Imeletwa Na Serikali
Kwani Wakati Wa Kampeni Nilisema Nitaleta Tetemeko 😄😅😃
Kwani Wakati Wa Kampeni Nilisema Nitaleta Tetemeko
Hapo Sasa Ni Mwenye Jina La Daraja Na Yule Waziri Wa UjenziKuna Watu wanahitajika kuongezwa kwenye ile orodha ya wanaomkwamisha Mkulu.
Dodoma na mvua wapi na wapi? Hata mito hakunaDar ilijengwa hovyo sana.
Dodoma imejengwa kwa mpangilio huwezi sikia kitu kama hicho cha mvua kidogo mafuriko siku tatu, Dar es salaam kila mtu kajenga anavyotaka nyumba zipo kama zilikuwa zinatupwa sio kujengwa.
Uko sahihi mkuu.
Hata hivyo Dodoma hakuna mvua heavy kama za Dar,Dodoma ni pakame kwa kiasi chake,mvua inapiga kidogo then inapotea kama hakijatokea kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani hadi hurumaWanaYanga shime twendeni tukazibue mitaro tunusuru Uwanja wetu.View attachment 1295178
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Mvua Imeletwa Na Serikali