UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

Kuna Watu wanahitajika kuongezwa kwenye ile orodha ya wanaomkwamisha Mkulu.
 
Chakaza,
"Hakuna cha feseability study. Itajifanya yenyewe kwenye detailed design and construction" Maneno hayo yalizungumwa hivi karibuni na mhandisi mkuu wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa huko mkoani Rukwa.
 
Pamoja na Miundombinu mibovu katika Jiji la Dar es salaam lakini Wana Daaslam nyinyi ni Wachafu mnoooooo. Mitaro mnaziba na magunia ya taka, Vyooo Vinatiririsha Uchafu humo humo, Wauza maembe, miwa, mananasi, nguo nk uchafu wao woooote wanatupia mitaroni tuu. Miafrika sijui fyuzi gani haikuungwa vizuri kwenye mabichwa yetu. Then mitaro ikiziba utatuona tunabana pua ooooooh therikali yetuu nyoooo nyoooooo ole wenu watu kama mie tumekosa hata utendaji wa mtaaa hakyanani mgetoa takataka mitaroni kwa meno yenu wachafu wakubwa nyie mxiuuuuuuuuu.
 
Uko sahihi mkuu.

Hata hivyo Dodoma hakuna mvua heavy kama za Dar,Dodoma ni pakame kwa kiasi chake,mvua inapiga kidogo then inapotea kama hakijatokea kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli, Lakini hapo Dar sio kila eneo wanapata mafuriko, kuna maeneo hayo kila msimu wa mvua lazima kufurike na inafahamika sababu ila hakuna hatua zinachukuliwa.

............Kuna raia wanaitwa wakazi wa Mabondeni mafuriko kila msimu.
 
Screenshot_2019-12-04-16-30-06-406_com.instagram.android.jpg

Hilo hapo Ni bwawa au barabara?
 
Back
Top Bottom