Inasikitisha sanaaaaa! Alafu waje wapewe uwazili tena!! Yaani CCM ni majanga juu ya majanga.! Nini maana ya kamati ya Nidhamu..? Mtu ambaye ameshasimamishwa mpaka na rais. Ila sishangai mkuu. System ya hizi kura za maoni sio nzuri. Viongozi wengi waliokuwa madarakani tayari walishachota Card feki kibao miaka ya nyuma na wakaziweka standby kwa uchaguzi ujao. Mtu huyu anagawa card na pesa juu siku chache kabla ya uchaguzi. Na ndio maana unaona wanarudi madarakani wote. Kinachotakiwa ni wananchi kutumia kura zao 25/October kuwa judge vizuri, kama hawafai wapeni CHADEMA. Ndio njia pekee!!