Jimbo la ukonga matokeo rasmi ni yapi
Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
Mbona nasikia Jerry Slaa kapigwa chini na Ramesh Patel?.
Hivi huyo Makongoro Mahanga si ndiye yeye kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alimfunga Fred Mpendazoe wa Chadema 'goli' la mkono kwa kukimbia na masanduku ya kura baada ya kugundua amieshindwa uchaguzi huo?Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
Cdm wajihadhari wasipokee kila mtu. Huyu na Makongoro Mahanga sina imani nao
Kigwangala chali.. kashinda Basheee
Nadhani inabidi zianzishwe thread za kila mkoa, maana muanzisha thread anasema atatoa taarifa pale alipo tu.Iringa mjini vipi? Aliyekatwa 2010 kapita au kakatwa tena?
Hivi huyo Makongoro Mahanga si ndiye yeye kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alimfunga Fred Mpendazoe wa Chadema 'goli' la mkono kwa kukimbia na masanduku ya kura baada ya kugundua amieshindwa uchaguzi huo?
Itabidi Chadema sasa wawe makini sana na watu wa design kama ya Makongoro ambao wanataka kuja Chadema baada ya kupigwa chini kwenye kura ya maoni kwenye chama chao cha magamba.
Watu wa design hiyo kama kweli watakuwa na mapenzi ya kweli na Chadema basi wakubali kupokelewa lakini siyo kwa wao kutoa masharti ya kuingia CDM kwa kupewa fursa ya kugombea Ubunge, bali waanze kwanza kuwa wanachama wa kawaida.