Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,694
- 650
Kigwangala kashinda Nzega vijijini na Bashe nzega mjini,majimbo yako mawili kwa sasa na waligawana hvyo
Hivi huyo Makongoro Mahanga si ndiye yeye kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alimfunga Fred Mpendazoe wa Chadema 'goli' la mkono kwa kukimbia na masanduku ya kura baada ya kugundua amieshindwa uchaguzi huo?
Itabidi Chadema sasa wawe makini sana na watu wa design kama ya Makongoro ambao wanataka kuja Chadema baada ya kupigwa chini kwenye kura ya maoni kwenye chama chao cha magamba.
Watu wa design hiyo kama kweli watakuwa na mapenzi ya kweli na Chadema basi wakubali kupokelewa lakini siyo kwa wao kutoa masharti ya kuingia CDM kwa kupewa fursa ya kugombea Ubunge, bali waanze kwanza kuwa wanachama wa kawaida.
Hivi ccm kwa uchaguzi wa mwaka uu wanarudisha watu wale wale waliochokwa badala ya kuweka sura mpya mbona wana wasafishia upinzani kupata. Wabunge wengiSasa Wasira anataka kuwapa moyo kuwa majina matatu yakienda lakwake halitarudi anawadanganya wakati yeye hakuna wa kuthubutu kulikata jina lake. Huu mchakato wa kura za maoni naona mwaka huu umeshika hatamu. Kwa mtindo huou wa ccm wa kupitisha wagombea kwa mizengwe, ukawa wajiandae kupata kura za mafuriko.