Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Kigwangala kashinda Nzega vijijini na Bashe nzega mjini,majimbo yako mawili kwa sasa na waligawana hvyo

Sasa Lowasa atampigia nani debe? Bashe au mgombea wa chadema. Kuna uwezekano chadema wakapoteza majimbo mengi ambako team lowasa wamepita.
 
Sasa Wasira anataka kuwapa moyo kuwa majina matatu yakienda lakwake halitarudi anawadanganya wakati yeye hakuna wa kuthubutu kulikata jina lake. Huu mchakato wa kura za maoni naona mwaka huu umeshika hatamu. Kwa mtindo huou wa ccm wa kupitisha wagombea kwa mizengwe, ukawa wajiandae kupata kura za mafuriko.
 
Huyu mdingi CCM desperately wamemchagua wakijua hawana cha kupoteza ndo maana wamepitisha mburula
 
Wakuu wa wilaya wamewekwa kimkakati kuiba kura. Tazama walivyopanguliwa na kupangwa upya na mfalme hivi majuzi.
 
Hakika, naomba mods kama itawezekana, uz huu ukae mpk baada ya 25.10 ili kuthibitisha maneno yangu.
Hii n kutokanana na ccm kumpitisha kipenz cha wanairinga FREDERICK MWAKALEBELA kuwa mgombea ubunge wa jimbo la iringa mjini. Ikumbukwe kuwa 2010 wanairinga walimchagua msigwa kulipa kisasi kwa ccm kwa "kumkata" Mwakalebela na si mapenzi ya msigwa na chadema. Ccm wamelisoma funzo la 2010 na wamewaletea wana iringa mjini mtu wao.
Nawasilisha!
 
Hivi huyo Makongoro Mahanga si ndiye yeye kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alimfunga Fred Mpendazoe wa Chadema 'goli' la mkono kwa kukimbia na masanduku ya kura baada ya kugundua amieshindwa uchaguzi huo?

Itabidi Chadema sasa wawe makini sana na watu wa design kama ya Makongoro ambao wanataka kuja Chadema baada ya kupigwa chini kwenye kura ya maoni kwenye chama chao cha magamba.

Watu wa design hiyo kama kweli watakuwa na mapenzi ya kweli na Chadema basi wakubali kupokelewa lakini siyo kwa wao kutoa masharti ya kuingia CDM kwa kupewa fursa ya kugombea Ubunge, bali waanze kwanza kuwa wanachama wa kawaida.

Ha ha saiz kazidiwa ujanja anatokwa povu
 
Sasa Wasira anataka kuwapa moyo kuwa majina matatu yakienda lakwake halitarudi anawadanganya wakati yeye hakuna wa kuthubutu kulikata jina lake. Huu mchakato wa kura za maoni naona mwaka huu umeshika hatamu. Kwa mtindo huou wa ccm wa kupitisha wagombea kwa mizengwe, ukawa wajiandae kupata kura za mafuriko.
Hivi ccm kwa uchaguzi wa mwaka uu wanarudisha watu wale wale waliochokwa badala ya kuweka sura mpya mbona wana wasafishia upinzani kupata. Wabunge wengi
 
Kazi aliyopiga Msigwa hata agombee Mwakalebela na baba yako mzazi kama mgombea mwenza,hawashindi hata kwa kura 1
 
Pia acha presure pia kumbuka nyie uko mkikosa mlicho tarajia hamchelewi kujining'iniza sasa tafadhali uwe makini mkuu maana naona kama vile unajisahau kuwa huu ni mwaka mwingine
 
Tuko wakati na kizazi kingineekinginee. Siasa za kule si za sasa alishasahaulika. Hana uzoefu wa kimataifa alo nao ...
 
kwelii lakini uwezo wake mdogo sana kuongoza watu wa iringa,ubunge sio kazi rahisi kama anavyofikiri kunywa bia na kullala inbox pub,
 
Back
Top Bottom