Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

DC Masala asibweteke na ushindi wa kura ya maoni. CCM wana historia ya kubadilisha matokeo ya kura za maoni na kuweka mgombea wanayemtaka wao kwa vigezo vyao.
Hata hivyo jimbo hilo ni la UKAWA mwaka huu.
 
Si Tabora tu majimbo yafuatayo mbunge aongozi zaidi ya miaka motano no Musoma mjini, mwibala, nyamagana, shinyanga mjini, Rufiji nk

Wewe huijui vizuri rufiji, malombwa kaongoza miaka mingapi??
 
anashindana na raia wakuandishwa wa rwanda mwenye cheti namba 11504 na faili namba: dn.377799. Kama kweli huyu bwana ni mzalendo tumpe jukumu la kuimba ubeti wa kwanza wa wimbo wa taifa. Wazalendo Wa kweli ni amina mrisho na benedict ole nangoro. Hawa wa 2 wana uchungu na nchi yao na kila wanapopata ushindi wanasheherekea hapa hapa Tanzania na siyo Kigali Rwanda.
 
wadau naomba kuhakikishiwa matokeo ya simbachawene kibakwe na dharau zake.
 
Anayefahamu matokeo ya jimbo la mbinga-mjini tafadhal atujuze
 
Wana jf, yule nguli wa maneno ya kejeri bungeni na kwa vyombo vya habari hatimaye amebwagwa chali katika matokeo ya awali jimbo la mkurunga. Hii imethitishwa katika matokeo ya awali katika kata mbili amvazo zimesjatoa matokeo.

Aidha mke wake na wapambe walionekana wKihaha huko na huku kuwaadaa idara ys wazai na wanawake lakini hata hivyo kachemsha.

Mh. Malima analalamikiwa na wananchi kwakushindwa kuwaboreshea miundo mbinu kama vile barabara.

Pia huduma xa jamii kama vile shule,afya umeme na maji. Kwaniaba ya wapenda maendeleo, nachukua fursa hii kuwashukuru wanamkurunga kwa maamuzi magumu.

MKURANGA BILA MALIMA INAWEZEKANA
 
Wale wa chama cha pale Lumumba watabaki weng sasa october hii🙂
 
anashindana na raia wakuandishwa wa rwanda mwenye cheti namba 11504 na faili namba: Dn.377799. Kama kweli huyu bwana ni mzalendo tumpe jukumu la kuimba ubeti wa kwanza wa wimbo wa taifa. Wazalendo wa kweli ni amina mrisho na benedict ole nangoro. Hawa wa 2 wana uchungu na nchi yao na kila wanapopata ushindi wanasheherekea hapa hapa tanzania na siyo kigali rwanda.
unamfahamu emmanuel papian vizuri? Au unachuki nae kwakuwa sio masai kama wewe!!!! Nizamu ya wakulima kuongoza mwaka huu
 
ccm yapasuka nyamagana, baadhi ya wagombea pamoja na wana ccm wengi sana washindwa kupiga kura kwa kigezo kuwa majina yao hapo kwenye register inatotumika,, register za zamani zafichwa.
 
DC Masala asibweteke na ushindi wa kura ya maoni. CCM wana historia ya kubadilisha matokeo ya kura za maoni na kuweka mgombea wanayemtaka wao kwa vigezo vyao.
Hata hivyo jimbo hilo ni la UKAWA mwaka huu.

Mwaka huu hawajaribu watakwenda na kimbunga puuu kama Iringa mjini 2010.
 
Nasikia Kapuya nae kabwagwa... Mwenye matokeo tafadhali
 
Back
Top Bottom