nchelegwanzingi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 468
- 277
Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KiembaHuyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
Chanel gani wanaonyesha?
Hadi sasa Dida ndiye anayetutoa...
acha uwongo wewe huoni mkude anavyohangaika hapo katikati na anavyojitahidi kupandisha timu? ningeshauri kocha awatoe akina kiemba na kazimoto na awaingize abdi banda na kama said ndemla angekuwepo ktk bench basi angeingia kwa nafasi ya kazimoto. taifa stars ikichezesha viungo 3 tu wa simba sports club tegemeeni timu ya taifa kuibuka na ushindi katika kila mechi. sema kocha tu na mapoyoyo wengine baadhi hawalijui hili!
angalau sasa wanatia matumaini.
Hivi kwanini tunashindwa kucheza man to man??? manake naona jamaa wanapewa pass wako peke yao tu