Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Updates: Misri vs Tanzania [Michuano ya makundi kufuzu AFCON 2017]

Huyu dogo anaevaa jezi namba 9 ana rasta ndio nani? Kanyoosha msuli mmoja matata sana hapa, kidogo walie jamaa, dah timu nzima namjua cannavaro na Henry morris na mbwana samatta, na kapombe
 
mtangazaji wa kiarabu keshaanza kutambua majina ya kibantu anayatamka kiufasaha, vijana wanajitahid
 
Dida anacheza mpira wa freekick uliopigwa na Salah...

Dk 45

Misri 0 - 0 Tanzania
 
Vijana wanahitaji pongezi gemu ya leo kidogo wameimudu hata kama tukifungwa hazitakuwa goli nyingi. GHANA Kamuaibisha Mauritius kampiga 7 kwa 1
 
Inawezekana unatazama mpira tofauti na huu tunaoutazama sisi wengine...

acha uwongo wewe huoni mkude anavyohangaika hapo katikati na anavyojitahidi kupandisha timu? ningeshauri kocha awatoe akina kiemba na kazimoto na awaingize abdi banda na kama said ndemla angekuwepo ktk bench basi angeingia kwa nafasi ya kazimoto. taifa stars ikichezesha viungo 3 tu wa simba sports club tegemeeni timu ya taifa kuibuka na ushindi katika kila mechi. sema kocha tu na mapoyoyo wengine baadhi hawalijui hili!
 
kuna mtu anauliza eti mpira utaanza saa tatu usiku baada ya kuangalia chanel zote hola. Imebid nicheke2
 
Dk 45 + 3

Ni Half time sasa...
 
Hivi kwanini tunashindwa kucheza man to man??? manake naona jamaa wanapewa pass wako peke yao tu
 
Hivi kwanini tunashindwa kucheza man to man??? manake naona jamaa wanapewa pass wako peke yao tu

Tukicheza man to man watatuua mkuu, hapa ni kucheza kama inter ya 'special one' everybody behind the ball tupate hata draw!!
 
Back
Top Bottom