DJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.Nyuki DJ ulikuwa unakutana na akina Muli B, DJ Vencha na wengineo
Mada ni tamasha la mziki mimi nipo kwenye mpira , ni ulevi tuπSijakuelewa
Hata Fetty alianza kama DJDJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.
Huyo alinipa introduction ya Rap Music ya mambele.
Unazingua bablaiππMada ni tamasha la mziki mimi nipo kwenye mpira , ni ulevi tuπ
FredwaaaaaDJ Muli B, DJ Bulla nimewasiliza Clouds kipindi cha Amplifier na Millard Ayo. Hao nawajua. Ila best DJ kwangu ni nani yule alikuwa anapiga Sindano 5 kali za moto Radio Free Africa.
Huyo alinipa introduction ya Rap Music ya mambele.
Kuna mmoja sauti ya 2 anahamahama sanaBack vocal hapana
Kawa babu ila anapiga mapanga badoAnasema ukijichanganya unakula za moto vabaa.. π
WamepwayaBack vocal hapana
Pumzi 0Huyu stara Thomas siku hiz yupo wapi anaongea kama mtu wa mambele
Kijana wa manjesta unatukana na goti wetu wewe ndio unazingua bwashee π π πUnazingua bablaiππ
Ila amejitahidi sanaNimesoma hapo juu GK naye sauti imekwama.
MwiliPumzi 0
KaokokaHivi K basil yupo wapi siku hizi??
Ngoja kwanza tuburudike na Saida KaroliKijana wa manjesta unatukana na goti wetu wewe ndio unazingua bwashee π π π