Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
-
- #761
FILA,FUBU,Ma nguo ya G-Unit yale
Dah nimekumbuka mbali sanaYeah! Tulikuwa tunanunua t-shirt unaikata mikono na mkasi. π
Nashangaa siku hizi madogo wanamodoa jeans. π
Jeans sisi tulikuwa tunavaa chini unaofunga na kamba, isiburuze chini. π
Allikuwepo mbonaSaigoni asingekua ustaadhi wangemleta nae aje achane
Watoto wa block 41Watu wa tamaduni tumefurahi
Haidary scoda
Kamanda Mula Nabi koko na Kikosi 1424
Midaam kado kitengo
Dah nimekumbuka mbali sana
Miaka flani hivi kulikuwa na traki pana hivi za special tena nyingi ni rangi nyekundu na nyeupe na kamba zake huku chini, sijui umezikumbuka
Watu wa tamaduni tumefurahi
Haidary scoda
Kamanda Mula Nabi koko na Kikosi 1424
Midaam kado kitengo
Hahah basi kama Saigon nae sio ustaadhi then aliyebaki kua ustaadhi full labda ni Ezden the rocker yule aliyekua mtangazaji,naona ye mpk ana sigda.Anatangaza mambo ya safari za hija tu siku hiziSio huyo tu nilitoka kubishana na bro wangu mwanzoni namwambia ulinambia rafiki yako saigon amekua maalim mbona namuona tena huku akabaki anacheka tuπππ
Umechelewa weweππππ hujasikia kiingereza kinavyotamkwa kiarabuSaigoni asingekua ustaadhi wangemleta nae aje achane
Oooooi oooooi sikuanza na shoo tangu mwanzoAllikuwepo mbona
Mbona wao wenyewe wanaonekana kama wanavutaHip Hop bila madawa.... Inawezekana.
I like kile kipande cha Gwalu... He flows so smoothly and dope!
-Kaveli-
Hahah hapo nimefeli mkuuUmechelewa weweππππ hujasikia kiingereza kinavyotamkwa kiarabu
Sawa alikuwa kama na dk 5 tuOooooi oooooi sikuanza na shoo tangu mwanzo
Ezden Jumanne baada ya zile picha zake kwenda vairo alibadilika jumlaaa.π€ Heri kwakeHahah basi kama Saigon nae sio ustaadhi then aliyebaki kua ustaadhi full labda ni Ezden the rocker yule aliyekua mtangazaji,naona ye mpk ana sigda.Anatangaza mambo ya safari za hija tu siku hizi
Siku hizi miji imejaa masikini na walugaluga, ukipendeza sana na kupanda daladla hawakawii kukuona mchelemcheleNdio ni kweli; sema zama zile ukijipenda sana watu wanakupa majina kibao. π
Ni sawa na dhana ya mtu kupenda basketball enzi zile anaonekana bitozi. π