Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

Kwamba walioalikwa kwenye sherehe za Uhuru wa Malawi na kuzindulia jezi hizo Ikulu Malawi Mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Malawi na mgeni mualikwa akiwa ni Rais wa JMT.

Kwamba inafanana na uzinduzi unaofanywa na hao masela huko Porini ?
 
Mlima 'K' unathamani kuliko hao maraisi wako na ikulu zao.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hadi Sasa Jezi Kali ni za Azam tu. Ngoja tuone hizo za mnyama zinazofana na za Arsenal
 
Ndo hii?
 
Na hii Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…