Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
chadema wanafikiri kimbunga kitaleta maafa wapate nitoke vipi walivyo hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dar inahusika kwa kiwango kikubwaLittle or no impact in Dar....
Sema mvua isinyeshe tu.
Ila huko kusini kazi itakuepo
Haya majina huwa yanapatikana vp kitofautisha kimbunga me na kewapi mkuu?Kama ulikuwa hujui.
Kimbunga chenye jina la kike ni hatari kuliko chenye jina la kiume?
Huo ni muda mzuri, watu wapo na familia zao, ni rahisi kujua cha kufanya tatizo likitokeaKimbunga hidaya kitaanza onekana kuanzia jumamosi ya kesho saa sita usiku hadi saa 11 asubuhi
Morogoro safi mpaka sasa hakuna changamoto yoyote hasa wilaya ya kilosaWakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth
====
Pia soma: TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara
Kuna mwl mmoja wa neno la Mungu alitamka kabisa miezi mingi iliyopita kwamba alionyeshwa na Mungu kwamba kutatokea tufani kwenye mwambao wa bahari ya Hindi na maeneo mengi ya pwani yatafunikwa na maji kutoka baharini.
Ukisikia pwani ni mikoa ya tanga,dar,lindi ,mtwara na pwani yenyeweMbona TMA hawajasema kama Dar nayo itaathirika!wanasema pwani TU!!
Kuna kisiwa naona kinatetemekaMimi nimeshinda mahali hapa dar nikiwa ghorofa ya sita, upepo unaopiga ukiwa juu utadhani cioo vinataka kuvunjika
Ila ukiingia kwenye map unaona bado eneo kubwa ni baharini ndio linaonyesha kuwa na mgandamizo mkubwa
View attachment 2980020