Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Siku hizi ninawaamini watu wa hali ya hewa.

Huku niliko mvua imeanza usiku wa jana hadi muda huu haijapumzika inaendelea kunyesha huku ikiambatana na baridi iliyo na ukungu baadhi ya nyakati.
 
Screenshot_20240503-211440.png
 
Back
Top Bottom