Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

kama std 7 kuna shida gani?
Out of topic ....Kwa zaidi ya wiki Karistimatiki Katoliki waliandaa fire conference na theme ilikuwa kuhusu Waberoya ...sikuwahi kuwajua Waberoya vizuri hadi Mwalimu Paskali Massenge alipotufunulia tabia za Waberoya. Sasa naelewa kwanini unatumia hii ID ...safi sana
 
Upendo Furaha Pendeza haya majina yote shetani hana sifa ya kuwa mwanachama
 
hivi elimu ya bongo zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatusaidia nini zaidi?
Kyagata, umesema vizuri sana: "...zaidi ya kujua kusoma na kuandika inatisaidia mini zaidii?" Swali kwako Kyagata: hivi kwa elimu hii ya bongo wewe kuna unachojua zaidi ya "kusoma na kuandika"? Kama jibu ni 'ndiyo' tafadhali elezea zaidi jisi elimu ilivyokufanya ukajua zaidi ya "kusoma na kuandika"; vinginevyo huna sababu ya kuibeza elimu iliyokuwezesha kufika ulipo.
 
She is good girl, ni Hazina haswa ya Chadema, ila ajitunze apunguze urafiki wa kimahusiano na wanasiasa, magonjwa mengi
 
kama std 7 kuna shida gani?
Hakuna shida yoyote tena kwa alivyo ni bora kuliko maprof wengi tu. Mungu amkweze binti huyu, Upendo Peneza afikie vilele vya juu kabisa taaluma na kazi ya siasa aliyochagua kuifanya!
 
Kwa uwezo wake wa kujenga hoja unadhani hata magufuli na phd anaweza bishana nae kwa hoja?
Akihenga hoja mbele ya magu ataambiwa kama alivyojibiwa yule mkurugenzi kule bukoba: "wewe unaweza kunijibu hivyo wewe...?" So unajua jamma huwa hana nguvu ya hoja ila labda Mungu alimjalia kuwa na uwezo wa "hoja ya nguvu"!
 
Uwezo wako wa kufikiri upo kwenye ubongo ulioko katikati ya miguu! You are very sick!
 
Wewe utakuwa umezaliwa miaka ya 1990 maana kwa mtu anaue ijua tanzania tangu uhuru hawezi kuwa na swali kama hilo wasomi hawajaanza awamu hii mkuu acha kupotosha kulishankuwa na ma Dr wengi tuu serikalini
 
......
.....Fafanuwa kuhusu VITISHO ..kama pande ileee ni sawa
 
Kwani kuna tofauti gani kwa akili kati ya darasa la saba na PhD?Akili mtu huzaliwa nazo,shule haijawahi kuongeza akili.Hakuna shule yoyote duniani inayoongeza akili.Na ndio maana unaweza kuona ujinga mwingi unafanywa na hao wasomi.
 
Kama ndo yule wa maisha plus basi uraia wake una utata utakuja kumsumbua mbeleni. Kwa kifupi ni mnyarwanda kama huamini fuatilia post zake nyingi fb.

Tukiianza kuhoji uraia wa killa mtu bac hata mkulu wa kaya hatabaki salama.....!!!!!
Magufuli ana vimelea vote vya Intarahamwe.....!!!
 
Sawa yuko vizuri na vyema tukaamini hivyo wote,lakini ubora huu isiwe kwa sababu yuko kwetu siku akibadilisha gia angani (kitu ambacho kinawezekana maana kufikia 2020 ni parefu) tuendelee kumsifu kwa ubora huu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…