Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
uongozi wa kuongoza watu ni kipawa sio kila mtu anapenda kuongoza watu na kutokupenda haimanishi hana uwezo wa kuongoza pia kuwa na ushawaishi katika kuonoza watu sio kuwa na ushawishi ktk kada zingine...But yet wameweza kugombea na kuchaguliwa kuwa wabunge, wewe unayewacheka possibly hujawahi hata kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kitongoji, which means that huna ushawishi wowote kwa jamii inayokuzunguka.
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.
She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.
Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Kwa hiyo kombi atakua na zeroAlimmaliza form six Green Acres DSM 2007.Akisoma sayansa,PCB.Baada ya hapo siku alienda wapi?
Point yako ni nini haswa??
Point yako ni nini haswa??
TASS ndo nini?Alimaliza TASS form 4 sijui kama aliendelea
Kula Like yangu pasi na kinyongoHata angekuwa darasa la pili c swala ni kwamba jeee? Anaelimu ya uraia kichwani au na yeye mbumbumbu kama ma Dr wetu wengi? Elimu ya cheti ni 0 kama hakuna elimu kichwan , usomi wa makaratasi hauwwzi ku determine kiwango cha ukimavu wa fikrawa mtuu , na walio liingiza taifa hasara ndio hao hao wanao jiita wasomi wa vyeti , idiot
Na ndio maana mkuu wa mkoa DAR inasemekana elimu yake magumashi lakin ni mbunifu kuliko hata hizi PhD zenu
Siku hizi o level wanasoma PCB ? Nimekuambia alipaswa amalize kidato cha nne mwaka 2006. Shule ya secondary Baptist Mwanza.Wewe ni muongo,Upendo Peneza nilimfundisha Green Acres ,alisoma PCB 2007.Muulize Julian Bujugo mmiliki wa shule.
Baptist alisoma O levelWewe ni muongo,Upendo Peneza nilimfundisha Green Acres ,alisoma PCB 2007.Muulize Julian Bujugo mmiliki wa shule.