Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Dah,hii tasnia ya gospel kuna tatizo la kiroho tena kubwa tu!
Hii sio sawa wanamtangaza Yesu yupi jmn?
sent using...tecno wereva[emoji23]
Unashauri wanawake wenzako waige mfano wa Upendo?
Mfano huo ni mzuri kwa upande wako?
Sioni chochote cha kujivunia toka kwa Upendo isipokuwa machukizo kwa Mungu hususani kwa watu wanaojihusisha na kujitanabaisha kuwa wanamtumikia Mungu.
Walipaswa kuwa kielelezo chema na sasa nashangaa wamekuwa kinyume chake.
Alikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu woteAlipokua na mumewe waliimba aisee ktk Roho na kweli!
Ukitaka kuamini hii sio sawa,subiri uone km akitoa tena nyimbo atasikika
Jiulize yuko wapi Flora wa mbasha? Unafikiri haimbi? Anaimba na ana nyimbo lkn mbona hasikiki tena!?
Wanawake wengi hawasimami kwenye nafasi zao,na haya ndo matokeo!
sent using...tecno wereva[emoji23]
Tuige kwa wale tulioachika.Tuige huu ujinga ndugu?
Kwa Yesu hakuna talaka!
Narudia tena kuna tatizo kwny hii hii tasnia ya gospel,wanawake wanajisahau sn yaani!
Hii sio ndoa takatifu bwana ,ndoa ya pili iwe takatifu? How?
sent using...tecno wereva[emoji23]
Hakuna dhihaka hapo. Alitakiwa aseme muimbaji wa nyimbo za injili upendo kilahilo. Sio kila mtu anamjua kila mtuAcheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app
wako wengi, ukisikia wengine hutoamini!Alikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Mungu na mimi naomba kama kaka hapo juu☝☝ Kuwa na mwanamke mwenye kitambi ni jaribu kubwa sana kwangu, siwezi livumilia.Namwomba sana Mungu aniepushe na wanawake wote wenye vitambi, amen.
😀😀😀 AMEN.Mungu na mimi naomba kama kaka hapo juu☝☝ Kuwa na mwanamke mwenye kitambi ni jaribu kubwa sana kwangu, siwezi livumilia.
Kwanini?
Dada umeolewa?Alipokua na mumewe waliimba aisee ktk Roho na kweli!
Ukitaka kuamini hii sio sawa,subiri uone km akitoa tena nyimbo atasikika
Jiulize yuko wapi Flora wa mbasha? Unafikiri haimbi? Anaimba na ana nyimbo lkn mbona hasikiki tena!?
Wanawake wengi hawasimami kwenye nafasi zao,na haya ndo matokeo!
sent using...tecno wereva[emoji23]
Lady jaydee kaanza lini kuimba Gospel mkuu? Au sijaelewa vzr comment yako?Tuige kwa wale tulioachika.
Mungu mesema kifo pekee ndio kitutenganishe na kama si kifo basi mkiachana hakuna kuoa ila kama mtu ana hamu ya kupigwa mashine kuliko kuzini bora atafute mtu mmoja wa kumsugua, hapo ndio nimesema tuige.
Ukristo hautambui talaka isipokuwa kwa habari ya uzinzi pekee, sasa hapa sababu ya kuachana kwao haiajatajwa.
ila kwa upande mwengine umesema waimbaji wa kike wa injili, ni kweli ROSE MHANDO, UPENDO KILAHILO, FLORA MBASHA, LADY J DEE, sijui ni kiburi ama uana harakati ulioanzia BEIJING 1995 ?sijui
Dada umeolewa?
Itasaidia katika kuitafakari comment yako ya awaliUkishajua otakusaidia nn mkuu?
sent using...tecno wereva[emoji23]
Msisitizo, Shela inavaliwa na mwanamke ambaye bado yuko na Bikra.Shela inavaliwa na mwanamke ambaye hana mtoto ikimaanisha hakuwa na mwanaume.
Ni sahihi. Ingawa wengi wanaolewa wakiwa hawana bikra. Ila Kama inajulikana tayari una mtoto Tena ulishaolewa kabla kanisa halikubali kuvaa shela. Sijui yy kafungia kanisa lipi. Mtumishi wa Mungu Kama yeye alitakiwa kugundua Hilo.Msisitizo, Shela inavaliwa na mwanamke ambaye bado yuko na Bikra.
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam
Ni kweli, na ndoa ni mbingu ya dunianiAlikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Kwanini wanawake siku hizi hawawezi kutunza bikra mpaka waolewe ?.Ni sahihi. Ingawa wengi wanaolewa wakiwa hawana bikra. Ila Kama inajulikana tayari una mtoto Tena ulishaolewa kabla kanisa halikubali kuvaa shela. Sijui yy kafungia kanisa lipi. Mtumishi wa Mungu Kama yeye alitakiwa kugundua Hilo.
Kile kile kilichomshinda kwenye ndoa yake na Amoni kitamshinda katika noda hii pia, ndoa si kitu ya kuchezea, inataka uvumilivuView attachment 1043647awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine
Sent from my iPhone using JamiiForums