Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Shangaa na ww!
Upumbavu mtupu!
Yesu haruhusu hivi vitu kabisa!
Unashauri wanawake wenzako waige mfano wa Upendo?

Mfano huo ni mzuri kwa upande wako?

Sioni chochote cha kujivunia toka kwa Upendo isipokuwa machukizo kwa Mungu hususani kwa watu wanaojihusisha na kujitanabaisha kuwa wanamtumikia Mungu.

Walipaswa kuwa kielelezo chema na sasa nashangaa wamekuwa kinyume chake.

sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Alipokua na mumewe waliimba aisee ktk Roho na kweli!
Ukitaka kuamini hii sio sawa,subiri uone km akitoa tena nyimbo atasikika
Jiulize yuko wapi Flora wa mbasha? Unafikiri haimbi? Anaimba na ana nyimbo lkn mbona hasikiki tena!?

Wanawake wengi hawasimami kwenye nafasi zao,na haya ndo matokeo!

sent using...tecno wereva[emoji23]
Alikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Tuige huu ujinga ndugu?
Kwa Yesu hakuna talaka!

Narudia tena kuna tatizo kwny hii hii tasnia ya gospel,wanawake wanajisahau sn yaani!

Hii sio ndoa takatifu bwana ,ndoa ya pili iwe takatifu? How?

sent using...tecno wereva[emoji23]
Tuige kwa wale tulioachika.
Mungu mesema kifo pekee ndio kitutenganishe na kama si kifo basi mkiachana hakuna kuoa ila kama mtu ana hamu ya kupigwa mashine kuliko kuzini bora atafute mtu mmoja wa kumsugua, hapo ndio nimesema tuige.

Ukristo hautambui talaka isipokuwa kwa habari ya uzinzi pekee, sasa hapa sababu ya kuachana kwao haiajatajwa.

ila kwa upande mwengine umesema waimbaji wa kike wa injili, ni kweli ROSE MHANDO, UPENDO KILAHILO, FLORA MBASHA, LADY J DEE, sijui ni kiburi ama uana harakati ulioanzia BEIJING 1995 ?sijui
 
Alikuwepo mwingine akiitwa Beatrice Muhone, aliivuruga ndoa yake alipojaribu kutoa album ilikuwa kama kituko, Biblia inasema Ndoa na iheshimiwe na watu wote
wako wengi, ukisikia wengine hutoamini!
 
Watu hawajui maana ya kuvaa shela. Hiyo aliyoweka kichwani hakupaswa kuivaa. Shela inavaliwa na mwanamke ambaye hana mtoto ikimaanisha hakuwa na mwanaume. Makanisa mengi siku hizi Kama ulishazaa hivai shela kichwani, Ni marufuku.
Sasa huyu dada yangu kujifunika huko kakosea.
 
Alipokua na mumewe waliimba aisee ktk Roho na kweli!
Ukitaka kuamini hii sio sawa,subiri uone km akitoa tena nyimbo atasikika
Jiulize yuko wapi Flora wa mbasha? Unafikiri haimbi? Anaimba na ana nyimbo lkn mbona hasikiki tena!?

Wanawake wengi hawasimami kwenye nafasi zao,na haya ndo matokeo!

sent using...tecno wereva[emoji23]
Dada umeolewa?
 
Tuige kwa wale tulioachika.
Mungu mesema kifo pekee ndio kitutenganishe na kama si kifo basi mkiachana hakuna kuoa ila kama mtu ana hamu ya kupigwa mashine kuliko kuzini bora atafute mtu mmoja wa kumsugua, hapo ndio nimesema tuige.

Ukristo hautambui talaka isipokuwa kwa habari ya uzinzi pekee, sasa hapa sababu ya kuachana kwao haiajatajwa.

ila kwa upande mwengine umesema waimbaji wa kike wa injili, ni kweli ROSE MHANDO, UPENDO KILAHILO, FLORA MBASHA, LADY J DEE, sijui ni kiburi ama uana harakati ulioanzia BEIJING 1995 ?sijui
Lady jaydee kaanza lini kuimba Gospel mkuu? Au sijaelewa vzr comment yako?
 
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.

huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.

Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.

wimbo wa zindonga

Shazam

Ndoa ya kanisani inavunjika na kuruhusiwa kuoa au kuolewa tena kwa mara nyingine ikiwa mwenza bado yuko hai?
Nakumbuka sababu moja tu inaweza kupelekea hiko kutokea, uasherati/uzinzi.

Sasa kwa haya maelezo, wanaangukia kwenye kundi lipi?

Lakini mambo ya ndoa na mahusiano ni magumu sana, wakati mwingine ni rahisi sana kulaumu au kutia watu moyo kama mambo hayajakufika.
 
Ni sahihi. Ingawa wengi wanaolewa wakiwa hawana bikra. Ila Kama inajulikana tayari una mtoto Tena ulishaolewa kabla kanisa halikubali kuvaa shela. Sijui yy kafungia kanisa lipi. Mtumishi wa Mungu Kama yeye alitakiwa kugundua Hilo.
Kwanini wanawake siku hizi hawawezi kutunza bikra mpaka waolewe ?.
 
View attachment 1043647awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kile kile kilichomshinda kwenye ndoa yake na Amoni kitamshinda katika noda hii pia, ndoa si kitu ya kuchezea, inataka uvumilivu
 
Back
Top Bottom