Upendo Nkone anyooshwa na walokole wa DRC

Walokole wengi wa Bongo wamehairisha trip ya paradiso
 
Yupo pale Mwenge makao makuu ya full gospel Bible fellowship church

Ila maisha ya Kwenye Tv na Media ni ya Kipumbavu sana, Enzi hizo kabla Sijafika jiji la Chalamila kwa Sasa, nilikuwa nikimfuatlia Kakobe kwenye Tv akiwa anafundisha kanisani kwake apo Pembeni na Mlimani city nilijua ni Bonge la Kanisa na Pengine hata Waumini Maelefu kwa maelefu wangeweza kusali humo, nilivyokuja kupajua live Sikuamini tena kitu ya Kuona kwenye Tv.
 
Mimi bado nafuatilia kwenye TV mkuu kwani kupoje kiuhalisia?
 
Kawa binti SAYUNI πŸ˜ŽπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na kamwe usiziamini camera πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…