data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Huyu ni Mama mkuu..Nampenda Sana huyu Dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Mama mkuu..Nampenda Sana huyu Dada
Sawa tu. Nampenda hivyo hivyoHuyu ni Mama mkuu..
Walokole wengi wa Bongo wamehairisha trip ya paradisoAmesema mwenyewe;
"Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120].
Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi maana nimevaa mahereni na macheni [emoji24][emoji24], wenyewe wanaita (mabishuu) wakasema wanataka niwatumie picha ambayo nimefunika kichwa na nisivae cheni wala herenii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mtihani mzitooo. Sikuwa na namna imebidi nikaipige picha wanayotaka na tayari nimewatumia. Duuu makanisa ya Kipentecoste ni balaa. Wamejua kuninyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji122]..
Ngoja sasa uone wale wanaonionyaga nisivae hereni wala cheni leo watakavyotitirika hap,a maana wamepata wenzao."
Source: Facebook account ya Upendo Nkone.
Waimba gospel mnaotumia mkorogo piteni hapa mjifunze kitu kwa huyu mama.
View attachment 2656431
Kwamba huwezi fanya hivi wapi?Face book Kuna account ya kanumba Kila siku anapost movie zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo pale Mwenge makao makuu ya full gospel Bible fellowship church
Mimi bado nafuatilia kwenye TV mkuu kwani kupoje kiuhalisia?Ila maisha ya Kwenye Tv na Media ni ya Kipumbavu sana, Enzi hizo kabla Sijafika jiji la Chalamila kwa Sasa, nilikuwa nikimfuatlia Kakobe kwenye Tv akiwa anafundisha kanisani kwake apo Pembeni na Mlimani city nilijua ni Bonge la Kanisa na Pengine hata Waumini Maelefu kwa maelefu wangeweza kusali humo, nilivyokuja kupajua live Sikuamini tena kitu ya Kuona kwenye Tv.
Mimi bado nafuatilia kwenye TV mkuu kwani kupoje kiuhalisia?
Kawa binti SAYUNI 😎😂😂😂Amesema mwenyewe;
"Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120].
Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi maana nimevaa mahereni na macheni [emoji24][emoji24], wenyewe wanaita (mabishuu) wakasema wanataka niwatumie picha ambayo nimefunika kichwa na nisivae cheni wala herenii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mtihani mzitooo. Sikuwa na namna imebidi nikaipige picha wanayotaka na tayari nimewatumia. Duuu makanisa ya Kipentecoste ni balaa. Wamejua kuninyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji122]..
Ngoja sasa uone wale wanaonionyaga nisivae hereni wala cheni leo watakavyotitirika hap,a maana wamepata wenzao."
Source: Facebook account ya Upendo Nkone.
Waimba gospel mnaotumia mkorogo piteni hapa mjifunze kitu kwa huyu mama.
View attachment 2656431
Muha hapi kongo ni kwaoMtumishi wa Mungu anayeaminika Kongo ni Askofu Zakary Kakobe!
Yupo vizuri sanaHuyu ni Mama mkuu..
Wampenda kwa upendo wa namna gani?Sawa tu. Nampenda hivyo hivyo
Hiyo picha ndiyo aliyopiga bila kuvaa mahereni na macheni aliyoituma kwa walokole wa DRC kama walivyo taka.Mbona kapendeza tu
Ni waigizaji wazoefuWalokole wengi wa Bongo wamehairisha trip ya paradiso
Mwambie ataelewa tu 😂Kwamba huwezi fanya hivi wapi?
Alafu hamna platform ya maana duniani kama Facebook kwa kila kitu
Na kamwe usiziamini camera 😂Ila maisha ya Kwenye Tv na Media ni ya Kipumbavu sana, Enzi hizo kabla Sijafika jiji la Chalamila kwa Sasa, nilikuwa nikimfuatlia Kakobe kwenye Tv akiwa anafundisha kanisani kwake apo Pembeni na Mlimani city nilijua ni Bonge la Kanisa na Pengine hata Waumini Maelefu kwa maelefu wangeweza kusali humo, nilivyokuja kupajua live Sikuamini tena kitu ya Kuona kwenye Tv.
Sana tu.Kawa binti SAYUNI 😎😂😂😂
Pengine ni kiongozi wa waasi.Kwa nini hupokelewa hivyo?
Sidhani kama ni wa hivyo.Pengine ni kiongozi wa waasi.