Yani yeye kuimba nyimbo za injili amethibitisha vipi kila mtu akila mayai ya kisasa ataota matiti na sio sababu nyingine tuMbona jambo alilolisema hata halihusiani kabisa na injili mkuu ni jambo la kawaida sana kwenye maisha.
Nchi ya wajuaji sana hii. Hatuheshimu kabisa taaluma za watu.Kwani yeye ni daktari na mtaalamu wa lishe?
Mkorogo kaacha? Au haijapata madhara bado?Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume.
Muimbaji huyo aliandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram akisema..''Jamani wazazi natoa ushauri tuu kwamba, tusiruhusu watoto wa kiume kula mayai ya kisasa, yanaleta manyonyo kwa wanaume. Hayo madawa nadhani yanayotumika, kama ni chips kula kavu au ule tuu mayai ya kienyejii, wanaume hili ni la muhimu sana"
Alimalizia kwa kusema "ila mnisamehe kama nitakuwa nimekosea au nimewaudhii️. Waachieni wanawake wale japo kwa kiasi pia. Nashindwa namna ya kuliwasilisha vizuri hilii ila mnisamehe wanaume''
Chanzo: Gazeti la Pambazuko.
Mtu akishakua na followers wengi anajiona anajua kila kituBongo mtu akiwa maarufu tu anajiandikia chochote bila utaalamu wowote
Kwa alilolisema lipo na tunaona athari ya ulaji wa hayo mayai mkuu japo inaweza isiwe hivyo kwa kila mlaji ila yana athari.Yani yeye kuimba nyimbo za injili amethibitisha vipi kila mtu akila mayai ya kisasa ataota matiti na sio sababu nyingine tu
Kitimoto je?Hata mwanaume kula chips mi huwa naona sio sawa,hua naona chips ni chakula cha wanawake
Kushauri mambo nyeti kama hayo tena kama wewe ni mtu maarufu na sio mtaalamu wa hayo mambo inaweza leta madhara makubwa hasa kwa jamii zetu ambazo kwao kufuatilia jambo ni ngumu.Kwa alilolisema lipo na tunaona athari ya ulaji wa hayo mayai mkuu japo inaweza isiwe hivyo kwa kila mlaji ila yana athari.
Kumbe na mkorogo tena anatumia😁😁Mkorogo kaacha? Au haijapata madhara bado?
kwanini wanawake huwa mnadanganyika kirahisi sana na hao mnaowaita wahubiri, wachungaji, manabii n.k?Mkuu unatumia hayo mayai ya kisasa?
Kama jibu ni ndiyo basi pokea huu ushauri wa mhubiri wa Injili kwa njia ya uimbaji na uufanyie kazi kwa faida yako na wanao wa kiume
injiriInjili ✔️
Injiri ✖️
Zingatia kanuni ya uandishi wa kiswahili fasaha.
Wewe jamaa utakuwa unaishi Dar! Siyo kwa hasira hizi.Unaongea ujinga as if kila mtu humu ni kiazi kama huyo upendo
Na wote watakuwa ni wanaume wa Dar! Sisi wa Mikoani huwa hatuli mayai ya kisasa.Naona waota matiti watarajiwa wanakomenti kwa Hasira Kali.
Wala sio hasira mkuu wala sina hizo tabia .Wewe jamaa utakuwa unaishi Dar! Siyo kwa hasira hizi.
Miaka michache ijayo huko mitaaniNa wote watakuwa ni wanaume wa Dar! Sisi wa Mikoani huwa hatuli mayai ya kisasa.
Kwamba mikoani hakuna wanaume mwenye matiti?Na wote watakuwa ni wanaume wa Dar! Sisi wa Mikoani huwa hatuli mayai ya kisasa.
Emperor Nero wa roma ya kale na yeye alikua na matiti kwa hiyo alikua anakula mayai ya kisasa?Miaka michache ijayo huko mitaaniView attachment 3288742