Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Mjomba watu wa Mikoani ni kazi kazi! Huku sisi miili yetu imekakamaa kwa kushinda juani tukilima.
Hata jamii ya kale kabisa wanaume wahivyo walikuwepo , point hapa huyo upendo mkono yeye ni mtaalamu wa afya?
 
Na mngekuwa kama wazungu msingekuwa mnakojoa na kunya banda la makuti...

Mwafrika ni Mwafrika tu na huwa anatumiwa sana na wazungu kufanyia utafiti na majaribio mwili wake.
Basi wazungu wote wangekuwa na matiti km matikiti maana wao toka kuzaliwa hadi kuufa ni mwendo wa mayai ya kisasa tu.
 
Hivi hii imekaaje kisheria endapo akishtakiwa kwa kutoa matamko yenye kuathiri biashara za watu bila kuwa na utaalamu na anachokizungumza.
 
Hivi hii imekaaje kisheria endapo akishtakiwa kwa kutoa matamko yenye kuathiri biashara za watu bila kuwa na utaalamu na anachokizungumza.
Anza na Amos Makala kabla ya kuwaza kumshtaki Upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…