Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Kwa hiyo wafugaji wa kuku wa kisasa wabadili biashara
Umesoma vyema kile alichosema Upendo?

Mdada hajapinga biashara ya mayai bali ametoa ushauri tu watoto wa kiume waache kula hayo mayai ila kwa upande wa wadada hajashauri wasitumie so hajapinga biashara yao
 
Mbona hajabalance story 😎kwa wanawake yanaongeza nini?
 
Ni kweli hiii mikuku ya kisasa na mayai yake kiafya si mazuri
Kwa sasa asilimia kubwa ya vyakula si vizuri kiafya kutokana na kuzalishwaji wake kwa kutumia madawa
Sijui tutaponea wapi
 
Hiyo hoja ya upendo ni withful thinking haina mashiko yeyote kisayansi
 
Ni kweli hiii mikuku ya kisasa na mayai yake kiafya si mazuri
Kwa sasa asilimia kubwa ya vyakula si vizuri kiafya kutokana na kuzalishwaji wake kwa kutumia madawa
Sijui tutaponea wapi
Mihogo, viazi, na maghimbi vya kuchemsha
 
Na yeye ni mwanamke, matiti ya wanaume yanamuuma nini. Kila mmoja abaki na matiti yake.
 
Hiyo hoja ya upendo ni withful thinking haina mashiko yeyote kisayansi
Na hao watoto wa kiume wenye matiti makubwa wanayapataje kwa mfano?

Upendo kaweka wazi kisababishi cha manyonyo makubwa kwa wanaume, acha kula hayo mayai ikiwa wewe ni mwanaume.
 
Kumekuchaaa!! Wacha tuone. Lol
Wakaka kina boniyai wanatoa povu balaa coz washaota manyonyo makubwa na hawakujua yaliwapataje, sasa Upendo kaweka wazi kisababishi weeeh hahahaaa boniyai wametoa povu lile la omo 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…