Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Njaa na akili haviwezi kukaa sehemu moja.
 
Ni haki yake kwenda anakotaka na ashukuriwe kwa mchango aliotoa kwa chama chake cha awali. Muhimu ni asianze kutukana alikotoka (kama wakina Lijualikali) maana kuna kesho. Na Chadema wasimsakame.

Amandla...
 
Huyu ni Mtutsi
 
Amechelewa sana kufanya huo uamuzi. Mtoto mzuri kama Upendo hakupaswa kuwa kwenye hilo genge la wahuni wanaotukana hadi maaskofu... CHADEMA panawafaa watu kama Mdude wasiojitambua. NINAMPONGEZA SANA kwa kujiondoa kwenye kundi la wapuuzi wanaotumia matusi kama ndo sera ya chama chao.
 
Mapambano yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…