Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Njaa na akili haviwezi kukaa sehemu moja.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri