Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi namshauri awaambie makada wenzake Halima Mdee na genge lake wakome kuleta hela chafu toka CCM, na hizo walizoleta zimeliwa na hoja ya wao kusamehewa imekataliwa.
 
bishangazi naona kawekewa mafuta full tanki
 
Kanateseka haka kadada. Ngoja mbususu ichakatwe huko ccm katatulia kama yule wa Mbozi walivyommimba naona siku hizi kasahau hata kama alikuwa CHADEMA
 
..Chadema waandamane kwenda kwenye ofisi za chama chao kupinga ubadhirifu wa fedha.

..Je, wananchi wa kawaida tuandamane kwenda IKULU kupinga hali ngumu ya uchumi, ubadhirifu, na ufisadi wa serikali ya Samia Suluhu?

..Hivi Upendo anasoma ripoti za CAG? Je, ana uchungu wowote na madudu ya serikali yanayoripotiwa? Anatushauri tuandamane kwenda wapi?
 
Rushwa gani CHADEMA?. Na hiyo Ripoti ya CAG haioni?. CCM hawajampa attention anayoitaka ndio maana amebakia kubwatuka. Mwakani alikuwa anachukua Jimbo la Geita Mjini, sijui nani kamdanganya.
 
CHADEMA angeiua kikwete kabla ya 2010 ila kwa ilipofikia hata jiwe angefufuka in a fair political ground hawa jamaa ni habari nyingine,hongera kwa Mbowe etal
 
Uyu naye kaenda ccm ya chadema yanamhusu nini
 
Rushwa gani CHADEMA?. Na hiyo Ripoti ya CAG haioni?. CCM hawajampa attention anayoitaka ndio maana amebakia kubwatuka. Mwakani alikuwa anachukua Jimbo la Geita Mjini, sijui nani kamdanganya.
Huyu ndo wale aliokua akiwazungumzia Kambarage,yaani wanasiasa wenye tabia za"kimalayamalaya"
 
Ulikokimbilia Kuna siku utalia machozi mdogo wangu !
 

Attachments

  • VID-20240521-WA0015.mp4
    16 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…