Huyu alikuwa anasubiriwa akina Halima Mdee watemeshwe Ubunge na Mahakama Ili wao waingie
Sasa Mdee na wenzake wamekata Rufaa imebidi akubali yaishe na kujisalimisha CCM
Ile ziara ya Mbowe na Halima Mdee Kanisani KKKT itawakimbiza Bawacha wengi
Naona Yahaya (Madilu) kaona hii ya kumlipia invoice haina maana wakati anaweza akatoka kule na kuingia CCM akapewa uteuzi ili kama invoice awe anajilipia mwenyewe kupitia mchongo atakaopewa.Na anajua kucheza na maneno ambayo wateuzi ndani ya ccm wanataka kuyasikia.
Hapana, hana cheo ni mwanachama wa kawaida tuKaupendo kamehongwa Cheo?
Lazima KAAHIDIWA something kaUpendo nakajua sana.Hapana, hana cheo ni mwanachama wa kawaida tu
Kila mtoto anapozaliwa anakuja na sahani yake, sahani za CCM sio za kugombaniaAkumbuke kuna waliosota tangu uvccm wakiipigania ccm yao, aache ulafi
Imagine ka upendo kanakuwa ka mkuu wa mkoa halafu kanakufokea, na kalivyo kazuri, yaani unavumilia tu moyoni unasema, hiiiiiii!!!!!asante Mungu kwa huu uumbajiLazima KAAHIDIWA something kaUpendo nakajua sana.
Peneza umeingia CCM relax,kula kwa adabu usitukane ulipotokaAkitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona (na haya ni mawazo yangu binafsi), Mimi nadhani Viongozi wapo kwenye mshtuko, wanataka kukagua kwa sababu wameshawafanya Wananchi na Wanachama wao ni bidhaa sasa wanataka kutumia maandanamano waangalie hivi tuna bidhaa ngapi na zipi zilizoondoka
Wameshapoteza uhalali wa Kisiasa sasa wanalazimisha uhalali wa Kisiasa wanataka kwenda kwenye maandanamano, wanatumia hoja nzuri sana, na hoja hii naomba niwashukuru sana Viongozi wa Dini na Watu wote ambao wameenda kutoa maoni
Hoja ni nzuri sana lakini inatajwa hoja nzuri ili kuwaaminisha Watu kwamba hiki ndicho wanachokipigania ili Watu kuwaingiza Barabarani lakini lengo ni kuangalia hivi hizo bidhaa bado tunazo au zimeshatukimbia?"
Huyo alikuwa ahame toka kipindi Cha zile siasa chafu za kuunga juhudi, ila alisita. Sasa hivi ameamua kujilipua maana ameona atakufa njaa wakati wenzake wanafaidi kwa kuamua kujizima Data. Ccm kwa sasa wamepoteza mvuto, hivyo wanadhani wakichukua watu wenye mvuto ndani ya cdm huo mvuto utahamia kwao.Huyu alikuwa anasubiriwa akina Halima Mdee watemeshwe Ubunge na Mahakama Ili wao waingie
Sasa Mdee na wenzake wamekata Rufaa imebidi akubali yaishe na kujisalimisha CCM
Ile ziara ya Mbowe na Halima Mdee Kanisani KKKT itawakimbiza Bawacha wengi
MkuuWapumbavu sana!
Mwambukusi aliitisha maandamano ya kutetea bandari machadema yakambeza!
Alafu eti maandamano ya kutetea vyeo vyao ndio wanataka nchi nzima tutoke!
Cdm kimempa jinaMwana-Maisha Plus wa Kipanya ana mambo sana!
Homeboy hiki kishageukaPeneza umeingia CCM relax,kula kwa adabu usitukane ulipotoka
I even contributed my 200,000/= kwenye kampeni of this motherfvcker
Simjui,hanijui ila nilituma straight M-Pesa just kuunga juhudi
Atateuliwa on something,even uwaziri and shit.
Uzuri ni kwamba kuondoka kwake hakujabadili chochote.Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona (na haya ni mawazo yangu binafsi), Mimi nadhani Viongozi wapo kwenye mshtuko, wanataka kukagua kwa sababu wameshawafanya Wananchi na Wanachama wao ni bidhaa sasa wanataka kutumia maandanamano waangalie hivi tuna bidhaa ngapi na zipi zilizoondoka
Wameshapoteza uhalali wa Kisiasa sasa wanalazimisha uhalali wa Kisiasa wanataka kwenda kwenye maandanamano, wanatumia hoja nzuri sana, na hoja hii naomba niwashukuru sana Viongozi wa Dini na Watu wote ambao wameenda kutoa maoni
Hoja ni nzuri sana lakini inatajwa hoja nzuri ili kuwaaminisha Watu kwamba hiki ndicho wanachokipigania ili Watu kuwaingiza Barabarani lakini lengo ni kuangalia hivi hizo bidhaa bado tunazo au zimeshatukimbia?"
Chadema kiwanda kinawazalisha kila leo maana huko ccm wako watu kama wakina magigeMkuu
Regardless motive of anything,Chadema ina power!
Na power ni exclusive haitaki umalaya malaya kuchanganya na Mwabukusi and shit.
Chadema ina power...sasa wewe kiutani ruhusu waandamane 24 watakuja wachache then 25 utaona vitu vya ajabu
Ni kesho actually
Nyie jamaa mnataka ku play down Chadema's power as if haina power
Hahahahahahah sema huyu manzi ni kisu ile laana..... kuna mabazazi ndani ya chama lazima wajitafunie piga ua.Huyu alikuwa anasubiriwa akina Halima Mdee watemeshwe Ubunge na Mahakama Ili wao waingie
Sasa Mdee na wenzake wamekata Rufaa imebidi akubali yaishe na kujisalimisha CCM
Ile ziara ya Mbowe na Halima Mdee Kanisani KKKT itawakimbiza Bawacha wengi
Hakuna anayelazimishwa kuandamana kwenye hayo maandamano ya cdm, na Wala ww hutakiwi kwenye hayo maandamano maana utaishia kupora vitu vya watu. Cdm ni taasisi ina taratibu zake. Mwabukusi ni taasisi gani?Wapumbavu sana!
Mwambukusi aliitisha maandamano ya kutetea bandari machadema yakambeza!
Alafu eti maandamano ya kutetea vyeo vyao ndio wanataka nchi nzima tutoke!
Ukitaka cheo CCM hakikisha unawatukana CHADRMA uwezavyo😀Akitangaza kuhamia CCM jana January 22, Upendo Peneza amesema kuwa...
"Sasa tuna hoja nzuri sana mezani, Bungeni kuna Miswada mitatu ya Sheria ambayo inabidi ipitishwe na Bunge lakini mmesikia Mwenyekiti Freeman Mbowe (Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa) akitangaza maandamano jambo ambalo Mimi naliona (na haya ni mawazo yangu binafsi), Mimi nadhani Viongozi wapo kwenye mshtuko, wanataka kukagua kwa sababu wameshawafanya Wananchi na Wanachama wao ni bidhaa sasa wanataka kutumia maandanamano waangalie hivi tuna bidhaa ngapi na zipi zilizoondoka
Wameshapoteza uhalali wa Kisiasa sasa wanalazimisha uhalali wa Kisiasa wanataka kwenda kwenye maandanamano, wanatumia hoja nzuri sana, na hoja hii naomba niwashukuru sana Viongozi wa Dini na Watu wote ambao wameenda kutoa maoni
Hoja ni nzuri sana lakini inatajwa hoja nzuri ili kuwaaminisha Watu kwamba hiki ndicho wanachokipigania ili Watu kuwaingiza Barabarani lakini lengo ni kuangalia hivi hizo bidhaa bado tunazo au zimeshatukimbia?"
Huyo ni Mrs Katibu Mkuu wa Ufipa 😂Hahahahahahah sema huyu manzi ni kisu ile laana..... kuna mabazazi ndani ya chama lazima wajitafunie piga ua.