Pre GE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kuamini mara moja chochote kinachotoka kinywani mwa mwanasiasa yeyote yule!... Hasa nyakati kama hizi...

Aelewe ya kwamba ni rahisi sana kuibomoa nyumba yako ya zamani!.... Lakini Kuna kazi kubwa zaidi! ... kuanza kuijenga nyumba mpya!
 
Ujinga wa waafrica ni siasa za kuletwa na wazungu eti democracy 😆😆😔....Wajinga ndio wanaamini siasa wakati ni porojo za kuwalisha watu wachache ...


Wajinga acheni siasa ndio mtego mliwekewa ili muibiwe .. Wanasiasa ndio wafanyabiashara hao haoa kama sio utapeli ..
 

Attachments

  • VID_24540627_150836_707.mp4
    33.7 MB
mbona haeleweki, tafuta kigogo mpe akupe ukumbukwe kwenye teuzi, ya chadema hayakuhusu maana umeshaondoka
Sema tena na tena. Tatizo anatumia ujanja wa kizamani sana. Haya mambo ya kutoka chama fulani leo halafu kesho yake unakuja na tuhuma za kuwashambulia kibao yamepitwa na wakati. Kwanza unajionyesha jinsi ulivyo mjinga na usiyeaminika. Wenzake walifanya hivyo wakaja juta baadae. Kama ni kuhama, wewe hama na usileta shutuma za kijinga.
 
Hii ni hazina adimu ambayo Chadema wameipoteza!
Masikini Chadema...!, lost this Gold in the rough! .
View: https://youtu.be/aHJGqYKrX5U?si=uX9m2pe3OIrHIHTX,Nimemsikiliza, nimeguswa!.

Kiukweli I was very right about this beautiful queen, young and very energetic lovely lady ambaye ni beauty with brain!.

Nilimfahamia Upendo Peneza kupitia kwa Regia Mtema (RIP) Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

Angalieni niliwahi kusema nini kumhusu Upendo Furaha Peneza humu[/SIZE]
  1. Upendo Furaha Peneza (@UpendoPeneza) | Twitte
  2. Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?
  3. Upendo Peneza ni malkia Nzinga Mbandi wa BAVICHA
  4. Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda
  5. Upendo Peneza leo Bungeni; Huyu Dada ana uwezo mkubwa sana
  6. Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo
  7. Mungu amenipa nafasi nyingine ya kumtumikia na kutumikia watu wake. Praise be to God!
  8. Upendo Peneza kapata ajali Geita akitokea kwenye Mikutano ya Kampeni (05 Dec 2014)
  9. Upendo Peneza ataja sifa za mwanaume wa kumuoa
  10. Upendo Peneza (CHADEMA) awalaumu Wabunge wanaohama vyama. Asema chaguzi za marudio ni kucheza pesa za wananchi!
  11. Mheshimiwa Upendo Peneza asisitiza amani akiwa ziarani na Waziri Mkuu
  12. Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana
  13. Je, Rais wetu, Magufuli anasoma JF? Rais, Please msikilize Binti huyu, ana hoja ya Msingi!

Nilikuja kumtafuta na nikaja kukutana nae View attachment 2879719
Hapo tulipokutana, yeye akiwa 20 something, mimi nilikuwa 50 something, nikiwa nimeisha oa na nina watoto 10!, hivyo sikuthubutu kumweleza lolote la moyoni mwangu, ila ningekuwa kijana... nakuapia... Haki ya ...!, nisinge kubali, .... naomba nisimalizie!.

Mungu ambariki sana Upendo Furaha Peneza!, hapa CCM imelamba dume!, naomba mimi ndio niwe mwana JF wa kwanza kuwatangazia Mbunge wa Geita 2025!.

P
 
Hii kusingizia wazungu na demokrasia kwa kuwa na viongozi wabovu, wezi na mafisadi ni kujidanganya.

Tatizo la Waafrika ni ile hulka ya kuchagua na kuendekeza mafisadi wanaohodhi vyombo vya dola na kuvitumia kufisidi na kuhujumu uchumi bila kuhojiwa. Demokrasia inawapa uwezo wa kudhibiti viongozi. Nyinyi hamtaki kutumia akili mnakimbilia kujikomba, kuwa machawa wa viongozi halafu mnamlaumu “mzungu” kwa ujinga wenu.

Ukikataa demokrasia, mbadala sahihi ni upi? Udikteta?
 
Mkuu!
.
Point yangu ni kwamba, Maandamano ya Mwambukusi yalikuwa yana maaana sana lakini chadena hawa kumuunga mkono.

Lakini hayo maandamano ya kesho utaona ni ya kutetea vyeo vya kina Mbowe zaidi alafu wanataka kila mtu awaunge mkono
 
Hakuna anayelazimishwa kuandamana kwenye hayo maandamano ya cdm, na Wala ww hutakiwi kwenye hayo maandamano maana utaishia kupora vitu vya watu. Cdm ni taasisi ina taratibu zake. Mwabukusi ni taasisi gani?
Hoja yake je?

Mngekuwa na akili mngeanzia pale pale pa Mwambukusi.

Lakini kwa kuwa haya kuwa maandamano ya kutetea vyeo mkaona mjinga.
 
Kataa siasa ni utapeli kwa waafrica .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…