Pre GE2025 Upendo Peneza: Maandamano ya CHADEMA hayahusu Miswada, yanalenga kuangalia kama bado wana watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja yake je?

Mngekuwa na akili mngeanzia pale pale pa Mwambukusi.

Lakini kwa kuwa haya kuwa maandamano ya kutetea vyeo mkaona mjinga.
Mwabukusi ungeungana naye wewe na wajinga wenzio huko ccm.
 
Uyu upendo peneza si sio raia wa Tanzania , afukuzwe nchini
 
Sijawahi kuwa mfuasi wq siasa za kitoto kikahaba Kama hizi, so far anachokifanya makonda huku mikoani sio kupima upepo Kama Bibi kirembwe wake anakubalika au laah!.
 
Sijawahi kuamini mara moja chochote kinachotoka kinywani mwa mwanasiasa yeyote yule!... Hasa nyakati kama hizi...

Aelewe ya kwamba ni rahisi sana kuibomoa nyumba yako ya zamani!.... Lakini Kuna kazi kubwa zaidi! ... kuanza kuijenga nyumba mpya!
Wanasiasa tena nyeusi anakuambia nyekundu
Kesho nyekundu anakuambia nyeusi

Ova
 
Hoja yake je?

Mngekuwa na akili mngeanzia pale pale pa Mwambukusi.

Lakini kwa kuwa haya kuwa maandamano ya kutetea vyeo mkaona mjinga.
Cdm ni taasisi, inashiriki jambo kwa utaratibu, sio mtu yoyote akianzisha hoja basi wanarukia. Vyeo gani ambavyo unaona ni vitu vya maana sana, au ni Yale Yale mambo ya kurukia propaganda za huku mitandaoni na ww unageuza ndio hoja zako?
 
Enzi za magu enzi za bahasha nzito alikuwa wapi kuunga juhudi,sidhani hata laki Tano kapata huyu kwa leo
 
Kaupendo kamehongwa Cheo?
Huko CCM kuna vilaza tupu ndiyo maana wamefuata kichwa toka Chadema,watu wenyewe si unaona hata jukwaani kazi yao uchawa tu,imagine chawa kama Lucas mwashambwa utampa kazi gani atakayoweza?
 
Chadema kiwanda kinawazalisha kila leo maana huko ccm wako watu kama wakina magige
Chadema kuna vijana walikuja hata kuchana nywele hawajui..chini kutwa kuvaA makobaZ
Wakapikwa wakapata ubunge
Leo hii wako ccm basi wanajiona
Miamba

Ova
Mtu kama Silinde na Lijualikali wamekuja wamevaa mabwanga yao hata kufunga tai tumewafundisha sisi.
 
CHADEMA ilishawapoteza watu wengi sana kwenye siasa kwa uchache...Zito, Nasari Joshua, Mashinji, Silaa Wilbroad na wengine wengi.
Je, nje ya CHADEMA unawasikia? Unaambiwa akina Mashinji na Nasari wanatembea huku wanajificha baada ya kutoka maofisini wanakotumika wananchi.
Kama mtu anamalengo ya kumtumikia wananchi kwanza kabla ya tumbo lako...suala la kuhama chama wala haina mantiki. Tofauti na hapo ni unafiki tu wa viongozi wengi wa kisiasa. Siasa zilizokomaa zipo huko ulaya na Amerika...mtu hakuungi mkono ndani ya chama na wala afukuzwi wala haondoki ila anaendeleza kile anachokiamini.
 
Mkuu!
.
Point yangu ni kwamba, Maandamano ya Mwambukusi yalikuwa yana maaana sana lakini chadena hawa kumuunga mkono.

Lakini hayo maandamano ya kesho utaona ni ya kutetea vyeo vya kina Mbowe zaidi alafu wanataka kila mtu awaunge mkono
Hawakuweza kuumunga mkono wakati tayari wamefungwa mezani kwenye mazungumzo

Leo mazungumzo mezani yamekufa,anything goes

Plus Mwabukusi ndio wa kuifata Chadema sio Chadema wamfate Mwabukusi

Whatever he does angetakiwa afate ratiba za Chadema,angeuwasha sasa hivi baada ya mazungumzo kufa

Chadema haiwezi kufata watu binafsi wakati ina ratiba ingine tayari,na tasisi haifati mtu binafsi regardless!

Ingetakiwa Mwabukusi ahakikishe ratiba zake zinalengana na za Chadema ku-share the same interests kwa wakati huo

Chadema ni powerful na ina watu mara mamilioni ya Mwabukusi,nani amfate nani?

Mwabukusi kafia pale sababu hana watu,Chadema kasema anaandamana serikali imeufyata wameruhusu coz jamaa wana numbers sio Mwabukusi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…