Pre GE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upendo weka akiba ya maneno,kumbuka Chadema ndiyo imekulea hadi hao majizi ya kura yakakuona na kukunua.
 
Crap from a mind crippled woman.

Siku zite hizi alizokuwa huko CHADEMA kwa nini hakuyasema hayo?

Kuna evidence yoyote anaweza kuitoa? Haya ameyatoa hayo akiwa huko CCM, ambao wanashikilia idara zote. Awasilishe tuhuma zake TAKUKURU wazifanyie kazi.

Vinginevyo, huyu atakuwa ni kiumbe punguani na mnafiki.

Siku atakayoondoka CCM atasema, nimeona viongozi wa CCM wameifanya CCM kuwa danguro.
 
Namuonea huruma sana huyu DADA.
 
Hayo mambo ya kuham vyama na kutoa kashfa imesha kuwa ni old fashion.
Tumesha gundua kwamba wote ni waoiga deal.
Ukiumizia pesa alizo pewa ahame chama uta shangaa wakati watu wana kufa kwa kipindupindu kwa kukosa sawa.
 

Yah right.

Viongozi wa CCM wanaitumia Tanzania kama shamba la BIBI.
 
Mzee Mbowe ana raha aisee,kafubza makamanda hadi inasikitisha ,kuna yule kamanda hadi kamuacha mke wake wazungu wa Canada wanapuuliza taratiiibu
 
Angeanzisha chama kipya maana kurudi kwenye chama cha kwanza ni kula matapishi yake
 
Umekuwa kiongozi wa taasisi hiyo kwa muda mrefu sana, hayo ya upigaji uliyajua tangu lini? Kwa nini ulinyamaza na kuendelea kubaki kwa muda wote huo? Je unaweza kuwa na nyaraka za kusaidia madai yako? Huko ulikohamia kuna tofauti ya upigaji na kule ulikotoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…