Pre GE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hana madhara! Alilijua Hilo na bado akabaki humo chamani! Hii ndio hasara ya ubongo kuhamia tumboni!
Eti Kuna watu wanamuona huyu na kumuita genius kumbe bogus tu! Ajiandae kurudi kwani Burundi kwani cdf keshasema.
 
Watumishi wa UVCCM waliokopa fedha zaidi ya Milioni 600 kutoka DCB Bank, watakiwa kurejesha
 
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii wamegundua kwamba Watu wameanza kuwashtukia, wamegundua kwamba Watu wameona michezo yao, wamegundua kwamba Watu wameona consistency na hawana hoja ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Nchi yetu, Watu wamegundua, Watu wameanza kurudi nyuma.

Njaa mbaya Sana hasa ikitoka tumboni na kuhamia kichwani
 
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii wamegundua kwamba Watu wameanza kuwashtukia, wamegundua kwamba Watu wameona michezo yao, wamegundua kwamba Watu wameona consistency na hawana hoja ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Nchi yetu, Watu wamegundua, Watu wameanza kurudi nyuma.

Sasa ccm wao ndiyo wataleta mabadiko wewe nenda huko ukapate cheo upate ugali wako wenzako wakina halima mdee wako mbali sana wameshakusanya pesa zakutosha.
 
Back
Top Bottom