Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

Bado hujakua
Kakua huyo.
Nilipiga mzinga nikapoteza kila kitu.
Maneno niliyopewa na Mama mzazi nilikoma.
Bahati nzuri aliwahi kujirudi hapo miaka 6 hatujawasiliana
Anaomba msamaha ndo aliniona nimekanyaga tena pale home.
 
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ?

Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa,
siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza kudai haki zake ati apate gawio.

Ila nyie jamani Wabongo tuache roho mbaya.

Mazazi wangu wa kiume akae akijua kama yeye aliwekeza kwenye pombe sigara na anasa zingine.
Sitatumikia chini ya miguu yako
Nitaenda kuanzisha ukoo wangu binafsi.

Kwa imani Ibrahimu alipoitwa aliitika, atoka kwenye nyumba ya baba yake aende mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.

Mathayo 10:34-36
[34]Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
[35]Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
[36]na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
= ukahaba
 
Kuzaana ni biashara ya utumwa na mwanzo wa mateso , nchi za nje wamegoma kuzaa , kiumbe kisichokuwa na hatia kinakuja kupata shida za duniani .

kwa ubinafsi wa binadamu kama duniani pangekuwa na raha wasingezaa watoto waje kupata raha , kataa kuzaa ngojea kufa.!
 
Back
Top Bottom