Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

Bado hujakua
Kakua huyo.
Nilipiga mzinga nikapoteza kila kitu.
Maneno niliyopewa na Mama mzazi nilikoma.
Bahati nzuri aliwahi kujirudi hapo miaka 6 hatujawasiliana
Anaomba msamaha ndo aliniona nimekanyaga tena pale home.
 
= ukahaba
 
Kuzaana ni biashara ya utumwa na mwanzo wa mateso , nchi za nje wamegoma kuzaa , kiumbe kisichokuwa na hatia kinakuja kupata shida za duniani .

kwa ubinafsi wa binadamu kama duniani pangekuwa na raha wasingezaa watoto waje kupata raha , kataa kuzaa ngojea kufa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…