Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

King'amuzi kikiisha wife anarekebisha .

Hapo unaweza ukakuta hiyo ndoa hata hajachangia hata senti, kuanzia kanzu mpaka boxer kasimamia mwanamke,hana kitu kaenda kuoa yy na korodani zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiih mbavu zinauma khaaaah
 
Naona leo kamati kuu ya umbea ipo kwenye kikao kujadili masuala ya umbea kwa ujumla wake wajumbe wanaonesha viwango vya juu kabisa ktk uchambuzi juu ya umbea.


Binafsi nawatakia mjadala mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Exactly
 
Nasikia mumewe alioa mke wa pili walivyokua wanapendana jamn tusiamini Sana couple za mitandao wanaonekanaga Kama wako perfect
Inawezekana mwanaume alimpendea pesa za urithi so alivyotimiza yake akasepa,na ukimuangalia vizuri huyo mama anaonyesha wazi hana furaha na tabasamu ni lakulazimisha tu inaonekana kuvunjika kwa hyo ndoa kulimuumiza, hyo sub aliyoifanya haiwezi kuziba nafasi ya aliyetoka.
 
Nasikia mumewe alioa mke wa pili walivyokua wanapendana jamn tusiamini Sana couple za mitandao wanaonekanaga Kama wako perfect
Inawezekana mwanaume alimpendea pesa za urithi so alivyotimiza yake akasepa,na ukimuangalia vizuri huyo mama anaonyesha wazi hana furaha na tabasamu ni lakulazimisha tu inaonekana kuvunjika kwa hyo ndoa kulimuumiza, hyo sub aliyoifanya haiwezi kuziba nafasi ya aliyetoka.
 
Upendo ukiacha udada wa mjini tangu enzi hizo(misigara,mipombe mikali na makorokoro yote)anajielewa vyema tu na namkubali vibaya mno...Mmungu amfanyie wepesi kwa kila jambo na amuondolee yenye shari na yeye.Tukiona ndoa inavunjika tujifunze kutonyoosha vidole.
 
Kwenye Picha kama Khadija Kopa , Ukute Nyumba ya Mbweni JKT kapanga ila anavyopost kama yake,naona sasa amerudi kwenye ubonge tena ila sister ana pulling kwa jamaa yake yule 45+ hatawezana bora alivyotafuta youngblood 25 ampelekee moto wa hatari.
 
Huyu open kitchen sidhani ka kaolewa kiupendo nadhani anamkomoa mumewe aliyeoa dada mwingine mrembo kuliko yeye. Na inakuwaje dada mzima anaolewa na katoto ka tisini na kitu karibia 2000 naona hapo hamna ndoa ni Kama mama kaoa mwanawe
Naomba handle ya mumewe wa zaman insta,kama unaijua.
 
Ni kweli masikini.. Ukimuangalia kwa makini deep down she looks sad.. But Mungu amsaidie apate amani na furaha.. Watu wanapitia maumivu makali mnoo
 
So true my dear... Kuna mengi sana na pia kuna second chance always, so let wish her happy marriage
 

Mimi swali langu hivi ile nyumba yenye swimming pool ilikua ya mwanamke au ya yule mume wake? Mbona hadi sasa anaishi huyu mama? Je huyu mama anamiliki ule mjengo kwa kazi ya umama ntilie? Swali gumu sana au ni nyumba ya urithi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…