Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.
Hapana cariha, wanene tupo aisee sema ni unene wa kiwango gani mtu ndio unatakiwa ujicontrol... mimi nikipungua nikawa mwembamba natishaWatanzania hutumia excuse ya kuzaa na kujiachia, nampenda mama watano five kid's still looking amazing. Kuzaa sio hoja ya kujiachia, duniani hamna mtu mnene aisee
Resty bado hajajenga kapanga ndo alikuwa kwa process, hafu sikuhizi sio kaacha umama ntilie?
Baba watoto alipoona resty kaolewa na mwanaume mwingine akamyang'anya resty vitu, Ila naye ana kawivu kabaya
Namwambiaga bi mkubwa Lakini kichwa ngumu. Unene ni kulakula tuWatanzania hutumia excuse ya kuzaa na kujiachia, nampenda mama watano five kid's still looking amazing. Kuzaa sio hoja ya kujiachia, duniani hamna mtu mnene aisee
Very true hafu huku Tanzania tunakula mawanga nafaka, bila hata matunda too much nyama nyama, kwanini usinenepe ka tembo jamaniNamwambiaga bi mkubwa Lakini kichwa ngumu. Unene ni kulakula tu
Na alikuwa ana dorishia balaa baada ya baba mtoto kutoka jela kamnyanganya vituWadada wa mjini wana mashauzi balaa ukimuachia vitu utajuta kuringishiwa ona mond ikabidi adai nyumba aliona mambo mazito.
Bado anapika ila duh ugali 2000 aiseee
Kuna unene ule mtu Hadi anapumua juu juu hivi, tumbo kubwa Hadi limefunika papuchi mpaka mwanaume aitafte kwa torch. Ila unene sio mzuri kwa afyaHapana cariha, wanene tupo aisee sema ni unene wa kiwango gani mtu ndio unatakiwa ujicontrol... mimi nikipungua nikawa mwembamba natisha
Kweli mapenzi yanaumiza Bora uvunjike mguu utapona haraka, Ila kuumizwa hisia inachukua miaka kupona aisee, na ukipona maumivu yake Moyo unakuwa umepata immunity ya maumivu mengine aisee. Mimi ilinichukua mda Sana kupona na mbaya watu huumiza watu waliokuwa wema kwao bila kosa, na ukitendwa si vema kuumiza wengine wasio na kosa, Bora ujipe break ya mahusiano.mapenzi yanaumiza mno....popote ulipo uliyeupiga miba moyo wangu Mungu anakuona!!!!!!!!!!!
Kuna unene ule mtu Hadi anapumua juu juu hivi, tumbo kubwa Hadi limefunika papuchi mpaka mwanaume aitafte kwa torch. Ila unene sio mzuri kwa afya
Sio kila mwanaume alozidiwa umri na mwanamke ni kiben10 kwa tafsiri ya mjini,wengine wanajielewa sana na mapenzi hayachagui umri...la muhimu tumuombee Upendo ndoa njemaUkipofu huo, ni mwanamke gani alifanikiwa kwa kuolewa na KiBen10? Angekuwa anajielewa asingeolewa na kiBen10.
Hakuwa punda alikuwa bwanaake,Rachel lina miwivu lihawara lake zee bayaaaa!!!Huyu resty Kuna siku nniliona Rachel kamchamba eti alikuwa punda wa shkuba, ingawa simjui huyo shkuba ni Nani?
Aaamin Mungu akamtendee memaSo true my dear... Kuna mengi sana na pia kuna second chance always, so let wish her happy marriage
Hahaaaa, hivi resty ugomvi wao na Rachel huwa Nini pamoja na mange daily kutukana, nilicheka nilivoona yule mubabu wa Rachel jamani si anatumia mkongojo yule, Kuna kipindi aliringishia ndoa sijui kikaishia wapi?Hakuwa punda alikuwa bwanaake,Rachel lina miwivu lihawara lake zee bayaaaa!!!
Niva alimtapeli pesa kibao huku dalili za ndoa hamna. wakamwagana akabaki analalamika wee
Teh teh..Alikutana na mtt wa mjini..Kumbe demu ndo alikuwa anaforce ndoa..
I can bet, watu wote waliooa wanawake zaidi ya umri wao hata mwaka mmoja tu, huwa wanapata shida sana katika ndoa. Lazima akuchukue kama mdogo wake, sembuse akuzidi 10, hata kama mwanaume siyo marioo lakini chamoto kiko pale paleSio kila mwanaume alozidiwa umri na mwanamke ni kiben10 kwa tafsiri ya mjini,wengine wanajielewa sana na mapenzi hayachagui umri...la muhimu tumuombee Upendo ndoa njema
Unasema zile kuku za resty anazouza paja moja na ndizi mbili kwa elfu 10 ni zuga tu? Kwamba kuna chanzo kingine nyuma ya pazia? Ila kusema kweli nnawajua wauza chipsi kuku wengi mtaani hawajawahi kwenda holiday dubai kama resty
Huyu resty Kuna siku nniliona Rachel kamchamba eti alikuwa punda wa shkuba, ingawa simjui huyo shkuba ni Nani?
Jina gumu kweli anatumia tempetesiously racheltemuRachel anatumia jina gani insta