Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Mie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui😆😆!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee🤧🤧🤧!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
Hahahaha hapo kny tamthilia sasa na bongo movie ndio mbingu na ardhi, Ukweli binafsi naamini kuna umri ukifika ndoa ikishindikana hakuna sababu ya kuolewa tena, ikibidi saana awe mtu mzima mwenye kujielewa come and stay😁 Lkn ndiyo tasty za watu wa mujini hizo!
 
Chezea ma shost weyeeeeeh, akaporwa mume ki ulaini hahahah, kutwa kumuiga wema yule hajaolewa ndo maan anakuwa nao mashost,.

Sasa mwenzangu yupo ndani ya ndoa afu anakuwa na shost lol, wanaume wenyewe hawa wa chovya chovya na hawachagui sehemu, ili hali ulimi utalamba na kutambua ladha mweeeeeh.

Ila hongera yake kwa kupata tulizo la hisia zake na kuamua kuhalalisha kabisaaah. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Vijana wengi hawatongozi wanatafuta madalali wanaokua kiunganisho mfano umependa jimama andaa ka mshiko kidogo au ka ahadi kwa dalali kama aristotle,lokole au mashost wa mhusika etc dalali anamaliza mambo

Jimama akikupenda anaanza mazoea na kampan yako mpaka anakufikia na hufurukuti pale
Sijui unaanzaje anzaje kumtongoza mmama kama huyu,yaani ukauzu huo mimi sina kabisa.

Ila wamama wa siku hizi wanakutongoza wenyewe.
 
Vijana wengi hawatongozi wanatafuta madalali wanaokua kiunganisho mfano umependa jimama andaa ka mshiko kidogo au ka ahadi kwa dalali kama aristotle,lokole au mashost wa mhusika etc dalali anamaliza mambo

Jimama akikupenda anaanza mazoea na kampan yako mpaka anakufikia na hufurukuti pale
Duu wazee wa connection wanasimamia mchongo mzima.
 
Chezea ma shost weyeeeeeh, akaporwa mume ki ulaini hahahah, kutwa kumuiga wema yule hajaolewa ndo maan anakuwa nao mashost,.

Sasa mwenzangu yupo ndani ya ndoa afu anakuwa na shost lol, wanaume wenyewe hawa wa chovya chovya na hawachagui sehemu, ili hali ulimi utalamba na kutambua ladha mweeeeeh.

Ila hongera yake kwa kupata tulizo la hisia zake na kuamua kuhalalisha kabisaaah. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona Leo mnashangaa wkt mlikua mnamshauri nyakoo afanye hivi ukishirikiana na cariha imekua ajabu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazazi wao waliwaachia pesa na biashara za maana. Umeona ee na vinywele vyake visivyo na shukrani pesa ipo si viote tu na kustawi kama shamba lake la mboga mboga.
Mie nachekaga na Yale mazoezi yake...alafu sijui hanaga mshauri kuhusu mavazi?dah... Au mie nacomplicate Sana? Body Ile uvae mitaiti jaman ya nn?
 
Back
Top Bottom