Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana wa tisini na kitu naye haoni aibu kumvulia, angetafta tu vetenari mwenzake na hivi ni lazima uolewe hata na ki bentenKuwa na vijana wadogo hivi ni pasua kichwa,ila ndio hivyo kipendacho roho...
Umri wa kiserengeti utategemea umri wa mwanamke, kwa hivyo kama mwanamke ana 34yrs, mwanaume akawa kny 20's tayari hapo ameshafaa kuchezea timu ya under 17. Huoni hapo ni tatizo kubwa jamani BAK ? Raha ya mapenzi msipishane sana bwana
Labda awe amerudi..alifutaga account
Open kitchen kubwa jinga hivi umri umeenda hvo anataka jipya gani nadhani hapo anafikiri ana mkomoa mumewe. Kuna umri ukifika unatulia tu Sasa hako kakijana open ana muzaa kabisa huku ukicheza rede, Raha ya mwanaume akuzidi kila kitu ndo inakuwa heshimaMie hata wiki moja siwezi ishi naye! Hakawii kuwa anasikiza tu bongofleva na matamthilia ya sultan sijui kara sevda sijui[emoji38][emoji38]!
Basi tu imekuwa trend ya kijinga Sana...wewe umri Kama wa huyu dada unahamu gani Tena kuishi na mwanamume mwingine? Unawaonesha Nini wanao? Si ana binti kbs huyu? Unashindwaje kukaa na wanao ukawalea tu? Kama ni Mahusiano yako yawe ya Siri sirini! Eti unaachika unaenda kuolewa Tena oyeee[emoji1784][emoji1784][emoji1784]!tena unaolewa na bongofleva..hutaacha ona rangi zote
Nimecheka Sana Dah
Numby wewe ni chizi Sana lols
Haki mbutananga kapata bwana mzuri handsome nimeona picha za mbutananga kapendeza kweliNasubiria uzi wa ndoa ya mbuta nanga jamani ee mbuta nae kaolewa tena kanisani kabisaa
Duh! Hivi ni wa 90's! Anafaa kuwa mwanae mlezi😁😁...mwana nae atajiweka maana amefika kny green pastureKijana wa tisini na kitu naye haoni aibu kumvulia, angetafta tu vetenari mwenzake na hivi ni lazima uolewe hata na ki benten
Hahaha kuna mmoja aliniambia yeye shida yake kubwa ni adress! Aitwe Mrs BAK ! Sasa hao ndio wale wanakufa na tai shingoni ili tu aonekane nae ameolewa! Sasa mume wa open kitchen wako kny ile ile nyumba ya former hazband,hivi kuna heshima kweli!
upOpen kitchen kubwa jinga hivi umri umeenda hvo anataka jipya gani nadhani hapo anafikiri ana mkomoa mumewe. Kuna umri ukifika unatulia tu Sasa hako kakijana open ana muzaa kabisa huku ukicheza rede, Raha ya mwanaume akuzidi kila kitu ndo inakuwa heshima
Tofautisha kulipiza na kuendelea na maisha Sasa huyo open mzee anatokaje na kiben ten, angetafta mwanaume anayemzidi ex waako viwango Sasa huyu anatoka na mtoto wa kumzaa si mjinga sasa
Hebu tupia bas hapa tuone, nmemis kumuona cheusi mangla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki mbutananga kapata bwana mzuri handsome nimeona picha za mbutananga kapendeza kweli
Mi ndo naskia hapa nacheka had kupaliwaNasubiria uzi wa ndoa ya mbuta nanga jamani ee mbuta nae kaolewa tena kanisani kabisaa
Nikikumbuka mbutananga kweli kila mtu hupata wakufanana naye, I'm happy for mbutanangaHahaha kwa kifupi kila pipa na mfuniko wake. Kuna kipindi nilidhani mbuta ni dada ake kisandu a.k.a don namilison
Hawa hapaView attachment 1526033
Sahihi kabisa, wahenga walishatoa uhuru ila waja akina siye ndiyo tuko busy kutoa mitazamo yetu! Na wahenga wa kizungu wakasema love has no count.... . Ila mmhhh!...lakini@ Prishaz wahenga si walisema Kipenda roho hula nyama KAVU? Au? hahahahahah
Basi yeye ni shida iweje ndoa tatu zimushinde ajichunguze marriage is not for everyoneKumbukumbu yangu kama haipo vibaya hii ni ndoa ya 3,maana aliolewa ndoa ya kanisani mwanzoni, labda nafananisha
Kamezaliwa 95 au 96 niliona akichambwa na Rachel instagramDuh! Hivi ni wa 90's! Anafaa kuwa mwanae mlezi[emoji16][emoji16]...mwana nae atajiweka maana amefika kny green pasture
True, hayupo serious na mahusiano yake. Kuna umri ukifika mashindano na mbwembwe za usichana zinatakiwa kuachwa maana wanaume wakati huo wanakuwa hawapo tayari tena na michezo wanajenga maisha.....Huyu open kitchen sidhani ka kaolewa kiupendo nadhani anamkomoa mumewe aliyeoa dada mwingine mrembo kuliko yeye. Na inakuwaje dada mzima anaolewa na katoto ka tisini na kitu karibia 2000 naona hapo hamna ndoa ni Kama mama kaoa mwanawe
Mwanaume akuzidi kuanzia miaka kumi awe mzoefu wa kila Jambo, akizudi elimu akili na maarifa, Sasa hapo huyo open atakuwa huyo ka mwanawe Sasa watakuwa wanashauriana Nini. Mimi mwenyewe sipendi date mwanaume tunayelingana umri kwanza huwa naona namshinda akili na yeye bado mtotoup
Unawaza Kama Mimi wewe..Raha ya mume akuzidi elimu...upeo..mawazo...kutafakari...hela...busara! Na awe mwalimu wako kitandani dadek..hapo ndo unakamilisha utu wa mwanamke!
Unadhan huyu wataongea nin Sasa la maana! Daily atamjia na stry za uchebe