PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Miaka ya nyuma niliwahi iyona picha huyu mama yuko na kijana mmoja wanamwita saydavito,hivi aliwahi kuwa karibu kiurafiki na huyo kijana ?Ndoa ilivunjika zaman mno akaona aibu kuweka wazi,alifanya sana jitihada za mazoezi waapii mwili ndo kwanzaa unastawi.
Kama ilivyo kawaida ya wadada wa mjini kufuga mashost kama james delicious si ajabu bibie alipokonywa mume na shost mmoja au jamaa aliamua kujisogeza pembeni kwa mke wa pili