Na hiki ndicho kitu wasichokifahamu..... Pesa haimpi mwanamke thamani mwanamke katika mausiano.
Kuna mtu alisema mwanamke mwenye pesa huwa anapewa heshima katika mahusiano, nikasema duh sasa ingekuwa hivyo wale wanawake wenye pesa kule ulaya si wote wangekuwa na ndoa za heshima mbona kila siku wao ndio wanaongoza kwa kupigwa kibuti.
Hata hapa bongo tunaona story ni ile ile Jide, shilole, etc.
Conclusion:
Wanawake msihusishe pesa, elimu, kipato, wadhifa nafasi yenu kwenye maisha ya mwanaume na ndoa. Wewe hadhi yako kwa mwanaume ni heshima unayompa. Usitoke na mtu wa kiwango cha chini yako kiupeo (sijasema elimu) atakusumbua kichwa kwa mawivu na kutokuelewa nini unafanya.
Kubali proposal ya mwanaume ambae ana run na frequency moja na wewe kisha mpe heshima na nafasi yake..... Kwa maneno mengine huyo ni kijana wa mwanamke mwenzako, mtoto kwa hakui, umeazimwa cheo cha kuwa mama, muonyeshe huyo kijana kuwa wewe unaongeza thamani ya maisha yake pale mama yake alipoishia...