Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hapo kny tamthilia sasa na bongo movie ndio mbingu na ardhi, Ukweli binafsi naamini kuna umri ukifika ndoa ikishindikana hakuna sababu ya kuolewa tena, ikibidi saana awe mtu mzima mwenye kujielewa come and stay😁 Lkn ndiyo tasty za watu wa mujini hizo!
Hahaha kiserengeti hapana kwa kweli hata awe kama malaika, najua hata nikikutambulisha hutafurahia😁
Mnhhh uachike uumie..mwenzako anaoa wewe unabaki na donda la roho...akitokea mtu yeyote akakupa 'attention' huyo huyo unae..unasomba kama gari la mchanga...sad, very sad. Wanawake tunadhania tunaweza ku 'hit' back kwa waliokua wapenzi wetu kwa kutuachia majeraha ila kiukweli tunaoumia ni sisi wenyewe...anyway asanteni kwa kunijulisha mtu wa kufollow insta..mie nilikua simjui atii...😀
Ajira hakuna, tunajaribu na huku.Asa huyu kijana ihiiiiii in (magu's voice) atakuwa kaenda kutafuta fursa
Mie nachekaga na Yale mazoezi yake...alafu sijui hanaga mshauri kuhusu mavazi?dah... Au mie nacomplicate Sana? Body Ile uvae mitaiti jaman ya nn?
Hahaha kuna mmoja aliniambia yeye shida yake kubwa ni adress! Aitwe Mrs BAK ! Sasa hao ndio wale wanakufa na tai shingoni ili tu aonekane nae ameolewa! Sasa mume wa open kitchen wako kny ile ile nyumba ya former hazband,hivi kuna heshima kweli!💕💕💕Kuna wanawake ukimuuliza anakuambia ndoto zangu ni kuolewa ndo yanatokea hayo Sasa..mradi na ww uitwe mke wa fulani..hapana aisee
Umri wa kiserengeti utategemea umri wa mwanamke, kwa hivyo kama mwanamke ana 34yrs, mwanaume akawa kny 20's tayari hapo ameshafaa kuchezea timu ya under 17. Huoni hapo ni tatizo kubwa jamani BAK ? Raha ya mapenzi msipishane sana bwanaKwani Prishaz umri wa viserengeti unaanzia na kuishia miaka mingapi!? 😉😉
Hahaha kuna mmoja aliniambia yeye shida yake kubwa ni adress! Aitwe Mrs BAK ! Sasa hao ndio wale wanakufa na tai shingoni ili tu aonekane nae ameolewa! Sasa mume wa open kitchen wako kny ile ile nyumba ya former hazband,hivi kuna heshima kweli!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...kujichetua kote mtandaani na ile michupi yake leo kuna mtu kafika bei....
Kweli kila mtu atapata wake wakufanana nae.
Ndo anatumia jina gani insta?
Nimecheka Sana DahIli uitwe dada wa mjini unatakiwa uvae vile hata kama mwili hautaki,mie huwa nikiona watu typu ile na mavazi yasiyoendana nao najisemea kimoyo moyo anabemenda nguo huyu.
Anyway ukimshauri mwenye hela zake mujini kinyume na anavyopenda jiandae kuwekwa kando na urafiki kwisha.
Zoezi la insta tu lile,nyuma ya keyboard anapiga misosi kama kawa.
Labda awe amerudi..alifutaga accountType openkitchen utampata
Numbisa una matatizo unajua, umefukua wapi? Nimecheka sanaHahaha kwa kifupi kila pipa na mfuniko wake. Kuna kipindi nilodhani mbuta ni dada ake kisandu a.k.a don namilison
Hawa hapaView attachment 1526033
Yupo jana nilikuwa navinjari picha za harusiLabda awe amerudi..alifutaga account
Numbisa una matatizo unajua, umefukua wapi? Nimecheka sana