cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Watu huwa hawaangalii vitu vingine, wanaweza tu vutiwa na sura au vitu visivo na mantinki.True.... Unajua watu wengi huwa wanapuuza frequency wanakwenda na Vibe au swaga... Of which is wrong. Mara nyingi mtu ambaye una run naye katika same frequency huwa hamuwezi kumalizana na huwa mnakuwa na ile ajenda isiyoisha so every time huwa mnataka kuendelea mlipoishia mara ya mwisho.
Kimsingi frequency inakusaidia kubond na anaekwenda nawe level moja haijalishi katoka familia, koo, kabila, au kuonekano wake upoje namna watu wanamcompare.......
By the way mimi na air katika very high n strong frequency...... Clever conversation light up my head.
Mkikutana watu mnaoelewana na kushare mawazo, maono ni rahisi kudumu na kuvumiliana Hadi uzeeni, tofauti na mtu msio share naye interest ni rahisi kumchukia na kuona mapungufu yake na ugonvi daily.