Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahaaa witness, na shoga angu Yuko ka upendo anateseka kuhonga vibeten ambavyo havitaki kutembea naye barabarani. Lazima mda mwingine kujua relationship sio za kila mtu
Ha ha ha we cariha wewe unanichana mbavu bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee unamwaga tyuuuh upupu,
Miss San u moaah
 
Hahaaa witness, na shoga angu Yuko ka upendo anateseka kuhonga vibeten ambavyo havitaki kutembea naye barabarani. Lazima mda mwingine kujua relationship sio za kila mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah nimecheka had mbavu zinauma, eti havitaki kutembea nae barabarani. Khaaaah
 
Pole upendo, this time chukua muda kabla hujaanzisha mahusiano mengine,
 
Mapenzi ya kwenye mitandao full kupostiana ni sura ya mbele tu, si kila uhusiano unaopostiwa insta ni bora kuliko usio postiwa. Tuishi maisha yetu.
 
Haya matinginya inabidi yaelewe kuwa hakuna serengeti boy anayapenda from the heart ila ni pesa tu ndo inasababisha. So kama wanapatwa na miwasho watafute vijana wa kuwasugua tu, lakini wasiwafuge kama umbwa. Watapata tabu sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…