Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unatoa tu povu la bure Mimi from begining nilisema hii ndoa haudumu na kweli imekufa kifo chali Cha mende huku upendo akiumizwa tuwe tunaangalia na watu kabla ya mahusiano huyo pendo alivo na huo mwili na kila kitu kujitaftia ben ten ni anajitaftia maradhi ya moyo. Ben ten anataka kula maisha na kuzaa huyo pendo staweza. Wanawake msiojiamini ka huyo upendo mtataseka Sana kuchunguliwa papa zenu
Hahaaa witness, na shoga angu Yuko ka upendo anateseka kuhonga vibeten ambavyo havitaki kutembea naye barabarani. Lazima mda mwingine kujua relationship sio za kila mtu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona page yake insta siioni siku hizi anajiita nani baada ya open kitchen?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena sana lolMarioo wana shida sana jomoni[emoji849][emoji849][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zinauma huku mie lol.Maisha tight. Kuliko uwe houseboy kwa mhindi (maghorofani-neshno hauzing) Bora upate jmama la kukutuma kusambaza vipodozi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea wee unamwaga tyuuuh upupu,Unatoa tu povu la bure Mimi from begining nilisema hii ndoa haudumu na kweli imekufa kifo chali Cha mende huku upendo akiumizwa tuwe tunaangalia na watu kabla ya mahusiano huyo pendo alivo na huo mwili na kila kitu kujitaftia ben ten ni anajitaftia maradhi ya moyo. Ben ten anataka kula maisha na kuzaa huyo pendo staweza. Wanawake msiojiamini ka huyo upendo mtataseka Sana kuchunguliwa papa zenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaah nimecheka had mbavu zinauma, eti havitaki kutembea nae barabarani. KhaaaahHahaaa witness, na shoga angu Yuko ka upendo anateseka kuhonga vibeten ambavyo havitaki kutembea naye barabarani. Lazima mda mwingine kujua relationship sio za kila mtu
Jamani hiyo code ya Uturuki ni ipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile suala, la ma2 was uturuki n motoooooh mweeeeh
Menina. AKA mama wa madeni mjini.
Itakuwa asee, simpati kabisa huyu bongeUtakua usha kula block [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuwa ulimfokea bonge kwenye page yake akaona litembee solexItakuwa asee, simpati kabisa huyu bonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya matinginya inabidi yaelewe kuwa hakuna serengeti boy anayapenda from the heart ila ni pesa tu ndo inasababisha. So kama wanapatwa na miwasho watafute vijana wa kuwasugua tu, lakini wasiwafuge kama umbwa. Watapata tabu sana.