Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

*
 
Haya matinginya inabidi yaelewe kuwa hakuna serengeti boy anayapenda from the heart ila ni pesa tu ndo inasababisha. So kama wanapatwa na miwasho watafute vijana wa kuwasugua tu, lakini wasiwafuge kama umbwa. Watapata tabu sana.
Uko sahihi kabisa
 
Yaani aliona ana mrusha roho mmewe aliyeachana naye kumbe ndio analikoroga ,naunga mkono hoja ilitakiwa atulie aje kupata mtu sahihi huko mbele na sio kukurupuka tu.
miaka mitatu unasema kakurupuka ulitaka akae mpake buibui aweke utandu...maisha ni haya haya mapenzi ni kubeti hayanaga formula unaweza kaa miaka hata 20 ukaja okota kapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…