Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ruby yupo vizuri ila kwangu mimi hakuna zaidi ya Ray C nchii hii.Hii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
Nitajie hit 5 za Rubby unazozifahamu, mimi ntakutajia za Ray C na RechoHii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
Hadi sasa ameshatuamsha mashabiki zake,afanye kazi sasa.Ni nzuri kwa kweli......najua atapata sapoti kubwa sana kama atarudi upya... Madawa shkamoo sio kwa kutupotezea hiki kipaji kizuri hivi.....piga vita madawa ya kulevya.....
legend is legend aisee,ray c nomaaMungu wangu! Siamini kama uko serious.
Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
ruby hata akilia nyimbo kaliHii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
Ntakutag usijaliHahahaaaaa akikujibu nishtue mkuu.
Hahahaaaaa Ray C kajua kuniua binamu,Recho hakuutendea haki huu wimbo kabisa.
BTW wakati naandika hii thread nilikuwa nakufikiria wewe,soon tutaanza kuumana.
Maana wewe Jide mimi Ray C...lol
Hahaaa...umetisha mkuuHahahaaaaa huu uchokozi sasa mkuu.
BTW nimeiona YouTube,nitaisikiliza kwanza mkuu.
Kama akimfunika Kiba nitaileta,ukiona kimya ujue hamna kitu...lol
Nitajie hit 5 za Rubby unazozifahamu, mimi ntakutajia za Ray C na Recho