Upepo cover; Shkamoo Ray C

Upepo cover; Shkamoo Ray C

Ni nzuri kwa kweli......najua atapata sapoti kubwa sana kama atarudi upya... Madawa shkamoo sio kwa kutupotezea hiki kipaji kizuri hivi.....piga vita madawa ya kulevya.....
 
Hii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ruby yupo vizuri ila kwangu mimi hakuna zaidi ya Ray C nchii hii.

BTW,naunga mkono hoja. Ruby airudie tumalize ubishi.
 
Hii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
Nitajie hit 5 za Rubby unazozifahamu, mimi ntakutajia za Ray C na Recho
 
Ni nzuri kwa kweli......najua atapata sapoti kubwa sana kama atarudi upya... Madawa shkamoo sio kwa kutupotezea hiki kipaji kizuri hivi.....piga vita madawa ya kulevya.....
Hadi sasa ameshatuamsha mashabiki zake,afanye kazi sasa.

#SayNoToDrugs#
 
Mungu wangu! Siamini kama uko serious.

Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
legend is legend aisee,ray c nomaa
 
Hahahaaaaa Ray C kajua kuniua binamu,Recho hakuutendea haki huu wimbo kabisa.

BTW wakati naandika hii thread nilikuwa nakufikiria wewe,soon tutaanza kuumana.
Maana wewe Jide mimi Ray C...lol

Bado yupo vizur sana ukizingatia katoka kwenye majanga huyu kipaji
 
Hahahaaaaa huu uchokozi sasa mkuu.
BTW nimeiona YouTube,nitaisikiliza kwanza mkuu.
Kama akimfunika Kiba nitaileta,ukiona kimya ujue hamna kitu...lol
Hahaaa...umetisha mkuu
Naona mpaka ifanyike screening ya kutosha ndo ije GT
 
Naona kama Ruby mrithi wa Ray C

Ila nimeipenda balaa hii cover
Bado sana kumfananisha Ruby na Rachel jamani,unamvunjia heshima Ray C mkuu.

Yeap, hii cover ni motrooooo.
 
Hahaaa...umetisha mkuu
Naona mpaka ifanyike screening ya kutosha ndo ije GT
Naam,ni kama hii cover nimeisikiliza wiki nzima.
Nikaona inaqualify kuletwa kwa ma GT's [emoji4].
 
  • Thanks
Reactions: NHS
Back
Top Bottom