Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nikweli,upepo unavumia Chadema,ila kama kawaida ya upepo ni unavuma tuu,kisha unapita,hivyo huu mvumo wa upepo,utapita tuuUkweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko.
Ni ishara njema only if upepo huu utaendelea kuvuma kwa kasi hii hii kuelekea direction hiyo hiyo ya Chadema,hadi October 2025 mtu akajikuta atapelekwa na huu upepo mpaka kule kunako!,tatizo la kutegemea upepo hautabiriki,kuna wakati hubadili directions, au kikaja kimbunga。。。Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025?
CCM haijaporeza ushawishi,huu ni upepo tuu na utapita!。Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi?
hapana,CCM ni a sleeping giant,saa hizi anawaacha watoto warukeruke,ataamka August 2025 na kimbunga!Je ni mbinu hafifu za kisiasa ambazo zinatekelezwa na viongozi wao?
Siikweli,how?Nadhani baadhi yao tayari wamepata maono kwamba hali ikiendelea kuwa hivi 2025 wataumia vibaya,
Siikweli,hali itakuwa mbaya kivipi?endapo CHADEMA wakipata uongozi mpya hali itakuwa mbaya zaidi kwa upande wao.
Soma HIISuluhisho la haya ni lipi? Je watafute mgombea/mwenyekiti mwingine kuokoa jahazi
Kazi inaendelea。。。au waendelee kuwafunga midomo wapinzani kwa mbinu zao za kutumia land cruiser hard top?
P