Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Zitto unawazo zuri sana!
Lakini kuna baadhi ya vitu Huwa haviwezekan
Siyo kama ni ngumu kufanyika hapana but
Kuna nguvu ambayo inazuia
 
Kiukweli hakuna nilichoelewa, na ulivyotaja mamilioni ndio umenivuruga kabisaaa! Labda ngoja nilale halafu kesho nitaanzia hapa. Looh!
 
Duuh si mchezo,kweli jamaa zetu wako vizuri sana,hasa hapo kwenye hyo ishu ya time travel,inawezekana kweli..hatari sana
Time travel ni kazi sana lakini labda itakuja wezekana, Ukifatilia Project ya Google X waliweka Teleportation na Elevator lakini kuja fanya calcuration wakaona Teleportation ni kitu ambacho hakiwezekani kinapingana na lwas of physics lakini Elevator inawezekana given the resource!.
Elevetor inayoongelewa hapa ni ile unajengwa mnara toka duniani mpaka let say ISS huko nje ya dunia, ina maana hakuna haja ya kufanya flight ni unaingia kwenye lift inakubeba kama ukiingia kwenye B.M Tower posta!.
 
Kutoka wapi kwenda wapi?
 
Kiukweli hakuna nilichoelewa, na ulivyotaja mamilioni ndio umenivuruga kabisaaa! Labda ngoja nilale halafu kesho nitaanzia hapa. Looh!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hahahaaha naona jamaa kaiva sana kwenye elimu ya space and time.....
 
Zitto unawazo zuri sana!
Lakini kuna baadhi ya vitu Huwa haviwezekan
Siyo kama ni ngumu kufanyika hapana but
Kuna nguvu ambayo inazuia
Nguvu gani hiyo mkuu inayozuia mbona hao wazungu wanafanya tafiti hizo na hawazuiwi....ingawa najua hutofunguka kama kawaida yako ila tupe hints kidogo
 
sasa na huu mwanga unaokuja usiku na mchana inakuaje?
inamaana mwanga tuliouona mchana wa leo wa jua ni wa miaka mil3 iliyopita?
Mwanga kutoka kwenye jua unatumia dakika 8 sekunde 19 kufika duniani!..
 
Nisaidie andiko ulotoa hizi data tafadhali.
 
Nguvu gani hiyo mkuu inayozuia mbona hao wazungu wanafanya tafiti hizo na hawazuiwi....ingawa najua hutofunguka kama kawaida yako ila tupe hints kidogo
"Natural super power"!
Ipo Ina control kila kitu kiwe katika Hali yake ya kawaida!
Bila kuwepo Na mkanganyiko!
Mkuu zitto hizi mission zipo Na kila mbinu inafanyika but hiyo Nguvu inakuwa inazuia!
 
Mkuu mbona una supply uongo!?..Tupo kujifunza lakini ni sehemu gani umesoma kwamba Jua-Dunia mwanga unatumia miaka millioni!.. Hivi unaijua miaka million lakini au unachanganya kusafiri binadam/chombo na speed ya mwanga?.
Toka kwenye Jua mpaka Dunia mwanga unatumia dakika 8 na sekunde 19 sio miaka milioni.
 
Wanakwambia kukiwa na wormhole/vortex mbili kitu kilicho kati yake kinaweza safiri past-future continuosly!.
 
"Natural super power"!
Ipo Ina control kila kitu kiwe katika Hali yake ya kawaida!
Bila kuwepo Na mkanganyiko!
Mkuu zitto hizi mission zipo Na kila mbinu inafanyika but hiyo Nguvu inakuwa inazuia!
Na hiyo nguvu inasimamiwa na DEITY kma mungu au shetani ama na mwanadamu or its just NATURAL !!!
 
Duuh!
 
Wanakwambia kukiwa na wormhole/vortex mbili kitu kilicho kati yake kinaweza safiri past-future continuosly!.
Duuuuh kumbe time travel hapo itawezekana!!! Mbona sayansi imegeuka uchawi tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€?? Kumbe science ni deep sana kiasi hiki.....

All in all wormhole inawezekana au na yenyewe inahitaji mtu asafiri kwa speed of light !!
 
Kama huu uchawi wetu wa kiafrika tukautendea haki tungeshapata matokeo chanya sasa tatizo ni walio nao wanataka kuloga watu na kufanya mambo ya kijinga yasiyo na tija.
 
Na hiyo nguvu inasimamiwa na DEITY kma mungu au shetani ama na mwanadamu or its just NATURAL !!!
Hahahahaa
Mkuu una maswali mazuri Sanaa but majibu yake nadhani umeyaandaa kichwani!

Kuna Nguvu kubwa ambayo imegawanyika!
Ipo nguvu KUU ambayo imegawanya vyote
Pia Ipo nguvu kinzani ambayo
Ipo siku ita take action Na kuharibu taswira ya ulimwengu Na kanuni zake za uendeshwaji ! Eg uvamizi na kuinuka kwa baadhi ya vitu ambavyo awali vilikuwa vimefichwa pia theory mbali mbali zitakuja Ku take action!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…